Kiukweli mitandao ya kijamii imetukutanisha wengi na inasaidia sana kufahamiana pamoja na mambo mengine
Lakini kwangu mimi kila binti niliyefahamiana naye kupitia mitandao ya kijamii au simu za kiganjani tumeishia nyumba za wageni na kugegedana tena bila hata kutongoza sijui nakupenda sijui nakuona kwenye grass...yaani kiuraini tu.
Sasa najiuliza kwa wake za watu ambao mnachati kila kona sijui kama mnapona....?