Bila shaka muwazima wa afya! Twendeni sawa ktk mada ya leo.
Kuna njia mbalimbali za kuweza kumuongezea wigo mpenzi wako ili afike kileleni na kunakitu kimoja wanawake wote husema, "kufika...
1. Mke wangu hupenda sana niwahi kurudi nyumbani;
2. Mke wangu huwa anapenda sana kunituma tuma ; niletee hiki , nataka kile;
3. Mke wangu huwa mkali sana, hujawa na hasira muda mwingi...
MAPENZI yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yawe ni yenye furaha na amani. Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo...
Kiufupi tu,mke wangu kipenzi nimeishi nae zaidi ya miaka 5,kaamua kusikiliza wazazi wake na kufuata wanavyotaka wao,uvumilivu umenishinda imenibid kuvunja familia hii,tuna watoto wawili kila...
likuwa na girlfriend ambaye nlimpenda sana....nlfanya kila kitu hata kama xkuwa na uwezo nacho nlijitahd walau kdg....zawadi kwa sana...apple...chocolates na ice creams kwa saan
Kiukweli nakiri...
Yaani wakati tuko mbeya alikuwa demu wangu tukiwa la saba, ila mi nikafeli ye akaenda kidato
Sema bado nikawa nikipata chance napiga pampu kama ida. Mziki ni alipoenda advance ndio tukapoteana...
Heshima wakuu..
inakuaje pale umeachana na mamsapu wako kitambo na bado yuko ndotoni kama jana vile?
nimeachana na ishu yangu miaka 4 iliyopita but bado nina filingz nae mnoo.kwasasa tuko...
Habari,
Wanawake macho mia, tamaa mbele na wapenda makuu, wazuri sana kwa burdani na kuuzia sura mjini. Kwanza wakishaona hela hawana usumbufu, kila unachosema jibu ni ndio love hata kama...
Ndio tulikua tumeanza mitihani ya kati ya muhula nikiwa kidatu cha tatu katika shule iliyokua na kidatu hadi cha sita. Wakati huo wanafunzi wa sekondari walikua ama wanamiili mikubwa au ni wakubwa...
Habari zenu wana JF,
Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mdada ninaempenda lakini kila nikiomba mzigo anakataa ananitolea nje.
Hata nikitoka nae out naishia tu kula denda chupi sijawai...
Note: a) Soma full article kuelewa mada (b) Chanzo zote za ushaidi zimeandikwa chini ya article d) Maneno ya kiingeleza yametumika kusaidia ugumu wa lugha.
Asante
Introduction
Watanzania wengi...
Wakuu,
Nimeona nivae uhusika wa kisa hichi ila sio mimi ili mnielewe...
Ni hiviii...
Nimechoka, nimechoka...jamani nimepata mkaka ananipenda kweli na analengo la kutaka kufunga ndoa na mimi...
Picha hii ilipigwa mwaka 2013 katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara, nchini Kenya na mpiga picha za wanyama (wildlife photographer) Alison Buttigieg, na ilishinda kuwa picha bora ya mwaka katika...
Heshima kwenu wakuu,
Leo natoa siri ya kambi tena kidogo. Mwanaume popote pale ulipo, usije ukapigwa biti au ukapewa vitisho na mpenzi wako ukakubali kuchepuka. Ni aibu sana na utakuwa...
Habar za wakati huu, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,ninasoma chuo hapa Dsm, nilikuwa na mpenzi wangu ambae nampenda sana, tumekuwa...
Mimba inaweza kuingia kwenye one night stand, ukiwa umekewa na mkajikuta mna kuwa wazazi bila kupanga. Sasa issue inakuja pale mwanaume huyo huyo unazaa nae wawili wengine. Kwao hawakufamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.