Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama mada inavyojieleza Miezi kadhaa sasa nipo hapa Morogoro mjini Nimestahajabishwa na hali hii ya kukuta vijana/wanaume wa hapa wanakula Mahindi ya kuchoma hasa Yale ya Kennedy (Njano) wakiwa...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Hata 'Joshua' juzi aliniambia kuwa mbona nimebadilika sana, nimeongezeka ukubwa lakini pia ule ukavu ukavu haupo na makelele yamekuwa mengi tofauti na zamani! Na hili hata (akataja majina ya...
5 Reactions
56 Replies
14K Views
Ni swali dogo lakini majibu yake yanatofautiana sana .. Hivi kuoa / kuolewa ni lazima au ni muhimu? Nawahukuru wote mliotoa michango yenu ila kwangu mimi naona kuoa ni muhimu! Umuhimu wake ni...
1 Reactions
82 Replies
7K Views
Jamani kwa Mwanamke mwenye sifa hizi, Mweupe, asiwe mfupi, asiwe mwembamba sana, asiwe na miaka inayozidi 30, awe muislam, asiwe mwenye watoto, basi tuwasiliane inbox kama yupo tayari kuolewa, mie...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Tukio hili limetokea juzi kuamkia jana. Mamaye biharusi aliambatana na mwanaye kwenda kuchukua dawa itakayo dumisha mapenzi ndani ya ndoa Mganga huyo mwenye jicho la mwewe alimrubuni bibi harusi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kujinyima na kujitesa Sana mwanaume kuamua kuwa na demu au Mke mmoja kwenye dunia hii yenye warembo Wengi wenye sifa mbalimbali .
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mtakaonisema kivyenu! Hii maneno ilikuwa kati ya mashostito wawili walokuwa wakiongea 'girly stories' zao na kama kawa sikio langu nikalitegeshea usawa na uelekeo wa maongezi yao. Ni kama...
10 Reactions
96 Replies
13K Views
Hodi tena jamani. Kama kawa nawaletea umbea wa kweli! Labda niseme nina bahati mbaya sana kupanga nyumba moja na hawa mashostito. Bila kujua kwamba nipo ndani nimejipumzisha, wakaanza mastori...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Ama kweli mapenzi yana raha na karaha yake. Ila hii ya huyu dada ni kali kwa kweli. Kama ilivyo kawaida ya wadada walioshibana wawapo zaidi ya wawili, hawakosi kuongelea mambo yao ya ndani ya...
3 Reactions
208 Replies
25K Views
Jamani wanaume kuweni wastaarabu. Kama mwanamke hakutaki acha kumkashifu utaishia kuaibika buree! Hii imemtokea kidume mmoja hapa manispaa ya Morogoro eneo la mazimbu. Baada ya njema kuchunwa...
10 Reactions
137 Replies
49K Views
Wapo ambao wanadai wanawake wengi wangekuwa wanapata vipigo wakati wa love making kwani wengi huwa kama wafu wanapopata orgasm. Wengine walidai eti wanaume wangekuwa vicheche zaidi ya walivyo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamaa yangu ananiomba ushauri afanyeje baada ya kupigiwa simu na kutolewa maneno ya ukali mpenzi wake wa kike akitaka ampe hela aliyomahidi siku moja kabla ya huyu kaka kufiwa na ndugu yake wa...
0 Reactions
112 Replies
8K Views
Chonde jamani baadhi ya kina mama/dada/wasichana mbona mna roho kama za ajabu hivi. Unawezaje kumwambia mumeo tena wa ndoa maneno kama hayo? mweeee! Maneno haya amtamiwa mwanaume na mkewe wa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi? kiukweli nipo njiapanda kuhusu huyu mvulana namuita hivyo kwa sababu nimemzidi umri mbali sana ni kama mdogo wangu. Huyu mkaka ametokea kunipenda kuliko maelezo yani mwanzo...
11 Reactions
185 Replies
16K Views
Ni binti Ambaye naweza kusema tulipendana sana katika historia ya mahusiano yangu! Mwanzoni mwa Mwezi June in one day binti alikuja na Excuse hataki uhusiano wa kimapenzi tena! ilifadhaisha sana...
0 Reactions
144 Replies
7K Views
Nimekuwa katika mijadala na wadada mara kadhaa, nawambia kuoa na kuolewa kunamaana sana kujua kwamba ukioa unamiliki na ukiewa unamilikiwa, hivyo usipojua maana ya haya maneno utapata tabu sana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
"Habari za sahizi wakuu natumai mpo vema. Mimi ni kijana wa kiume waumri wa 26 Nilianza mahusiano na binti mmoja kutoka tangu miezi zaidi ya sita sasa.Hatujawahi kuwa na ugomvi pia malengo yetu ni...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Atagawaje utamu nje? Mimi tulikubaliana kuwa tupo wawili mimi na muke mukubwa. Sasa kagawa utamu kwa mutu mwingine. Hapa nipo morogoro kesho naenda mlimani kwa mzee sabini kumuvunja nguvu...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Asee siwezi kufika mbali sana ila kiukweli siku hizi siyo kama zamani kwamba mapenzi matamu yanapatikana Tanga pekee, Katika pita pita zangu nimepita na wengi lakini nimejaliwa kupita na Sample 3...
1 Reactions
97 Replies
7K Views
Nilimpata mpenzi mwaka 2016 mwezi wa 4. Binti ana miaka 23, mzuri ameumbika haswaaa. Yaani shape, rangi ya ngozi, macho, sura na miguu ametengenezwa haswaa. Unaweza dhani wakati anatengenezwa...
27 Reactions
132 Replies
12K Views
Back
Top Bottom