Njia rahisi ya kupata mtoto (watoto)

Njia rahisi ya kupata mtoto (watoto)

MNORWAY

Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
33
Reaction score
16
Habarizenu wana jamvi twende moja kwa moja kwenye mada husika

Kumekuwa na tatizo kubwa kwa baadhi yetu au jamaa zetu kuto kupata Mtoto ( Watoto) na wamefanya jitihada nyingi bila mafanikio, wapo walokwenda kwa waganga bila mafanikio pia wapo walio waona madactari bingwa pia nao hawaja fanikiwa leo nitatoa njia 2 tu jinsi ya kupata mtoto nyengine ukihitaji utanitafuta binafsi

NJIA:
1. KUACHA KULALA KWENYE KITANDA CHA FUTI 6/6 AU 5/6 : Wengi wetu tumekuwa tukilala na mke au mume kwenye kitanda cha futi 6/6 au 5/6 hii husababisa kutaokuwa na hamu na mwenzi wako hupelekea usiku kucha kulala bila hata kugusana kutokana na ukubwa wa kitanda.

Ushauri: Yatupasa kulala kwenye kitanda cha futi 3/6 au 2/6 hii itakufanya upige shoo kila siku na mungu kukuonea huruma na kukutunuku Mtoto (Watoto) kwamaana huwezi kugeuka au kujigeuza upande wa pili bila kumgusa mwenziwako na itakuongezea ashki pindi mtakapo gusana gusana.

2. KUPIGA ILE STAILI YA MLOWEKO: Hii itasaidia sparm kusafiri kwa haraka na kupenya kwenye yai la mwanamke bila kuathirika

NB: MLOWEKO UNAWEZA ITUMIA KWA WALE MASHANGINGI WALIO SHINDIKANA 😛😛
 
Mloweko staili hii ya kawaida au
 
MNORWAYMember
#1
1 minute ago

Joined: Feb 9, 2018
Hii ndo imekujaa kichwani?
 
Kwahiyo tulalie vile vitanda maarufu kama "Ulimi"? ukipinduka chali..hufai hata kidogo! nilijua ni scientific reason kumbe upoyoyo tu!
hahaha ..mimi mwenyewe nilikuja mbio "" ilinione yaliyomo kwenye Uzi "" kumbe ni ujinga mtupu ""...
SHUBAAMITI
 
[emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hivivianda vinaongeza nguvu ZA sperm nasikia
 
Back
Top Bottom