Wabinti wa kula good time mpo?

Wabinti wa kula good time mpo?

hby

Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
17
Reaction score
17
Nabadili strategy. Nimeoana kuwa serious sana haisaidii. Sasa ni mwendo wa full - maraha!!

Ninatafuta binti anayetaka kuwa na mahusiano na mwanamume. mahusiano hayo yanaweza kuishia katika ndoa ama yanaweza kuishia katika mahusiano tu.

Sina vigezo vigumu ila awe si malaya, kahaba, mhuni, etc

Awe ametulia, machepere saana si type yangu.

Awe ana mtizamo wa maisha mema ya baadaye. Asiwe limbukeni asiyewaza lolote la baadaye.

Awe bize na shughuli fulani au kama anasoma basi iwe katika vyuo vya elimu ya juu. sitaki kesi na wanafunzi wa sekondari.

Karibuni PM
 
Hivi huwa mnapata malaya humu kweli maana kila siku naona matangazo yanazidi.
 
Back
Top Bottom