NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 233
Wana JF naomba niwape hiki kisa cha kweli...ili na wengine wajifunze...!
Kisa hiki:
Niliopoa binti mmoja akiwa tu kamliza form six nikavuta ndani kabla hata matokeo kutoka.....matokeo kutoka ana Zero...'S' flat. Dah nilumia kinyamaaa....nikapiga moyo konde nikampigisha shule ya 5&6 ndani ya mwaka mmoja...akarudia paper...akapata credit 2, nikampeleka Chuo cha Ualimu. Hapo mtoto yupo ful respect and full maloveee..
Matokeo ya chuo kapasi...kasota kitaa miezi ka kumi hivi...JK akamwaga ajira...kaingia kwa payrol....weeeee hatareeee sio yeye tena....dharau + kiburi juu. Salary yake sijaiona hadi inafika mwaka na miezi mitatu....nikavunja ukimyaaa....kuulizaa....duh nilichoka jamani.....! kweli kuna watu na viatu.
Nikajibiwa hivi: ulinioa mimi au mimi nimekuoa wewe? maana yake coz mie nimemuo ndio nihudumie everything ndani ya familia.
Nikamjibu...sawa but nilikuendeleza kielimu ili tusaidiane maisha....akanijibu...hivi hadi unanioa mimi...hukuona wanawake wengine labda? Duh katika siku nilizoumia hiyo siku niliumia sana. Nikamwambia kama hivyo my dear si bora ningemuoa muuza genge la nyanya au muuza vitunguu au maanadazi? .....sikuamini macho yangu...akanijibu hivi wakati unanifuata mie hao unaowasema wauza maandazi hukuwaona? Kweli wanaume tuna mateso sana na hawa wanawake.....!
Mwisho kumaliza mjadala nikamwambia ok...kila mtu aishi kivyake...tu-divorce tu maana hamna namna....akasema hata sasa hivi lete tu hiyo talaka yangu niondoke.....but kumbuka niliko mtoa huyo binti....hadi kuwa teacher madam wa sekondary.....kweli mwanamke hasomeshwi jamani....wanaume wenzangu msirogwe kabisaaa.
Nikafatilia divorce.....ikakwama baraza la kata...wakasema mwanamke mpumbavu....atajirekebisha...aombe msamaha yaishe...mtamtesa mtoto...kumbuka hapo tuna mtoto ana miezi kama mitano kwenda sita hivi....nikarudi home. nikatulia. Heeee...after one week ananiambia yeye anahama nyumbani anahamia huko karibu na shule kupanda daladala amechoka.....kwa hasira nikamruhusu.....sikutaka kufuatilia mambo yake....! After 3 weekend akarudi home..yeye, mtoto, na house girl.
Kumbuka toka ajifungue...sijawahi kuomba mechi...nilipanga hadi mtoto wangu hadi afikishe miezi 6, ndio nitaanza mchezo na huyo mamii. Dah siku hiyo mida ya night naomba gemuu....kuja kupiga kimoja tu hata kabla sija mwaga wazungu stimuuu zote ziliisha...nikastop. Jamani...hata yeye alistuka...akauliza..vipi?....nikamwambia hujui? kwanini umenisaliti? umetembeaje na mwanaume mwingine wakati...mimi biological father nipo...na hata mtoto wetu hajafikisha miezi 6 wewe unatoka nje ? kweli? Aliomba msamaha....na kukiri kweli amenisaliti....nje...! NILIUMIA SANA JAMANI....!
Nikakaa kimyaaa! Na sikuwa na apetitite naye tena! Baada ya wiki moja nasikia kuwa amechukua mkopo benk....na pesa zote katuma kwao! Kisa ..eti kwa kuwa mimi nilimwambia mamii mshahara wako na wangu tuchanganye tufanye mambo ya maendeleo.....na hapo kumbuka....toka aanze kazi....sijaona hata senti....toka apokeee subsistance allowance/hela ya kujikimu ya kuanzia kazi ...hadi salary kwa muda wa mwaka na miezi kadhaaaa...... jamani wanawake.....heeeee hatareeee...!
Hivi wanawake tuwapendeje?? Sasa si bora tuishi peke yetu na kama huduma tununue tu jamani....khaaaaa!
@ NGOSWE WA NGOSWE….!