Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

Kwa kweli ndoa ni safari ngumu

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Kuna wanawake wengine ni mashetani,hata kama unatembea na mme wake ndo ufanye hivyo jamani

Dada angu anapitia wakati mgumu anahitaji ushauri baada ya kushika sim ya Mme wake wakati ameacha chaji hapo jana jion na akakuta meseji za hiv

Dada aliolewa na Mme wake mwaka 1 na nusu na ana mtoto kichanga cha miezi 6

Anatamani amuulize Mme wake kulikoni anaogopa

Nimeshindwa nimwambieje mie

IMG_20180716_180510.jpg
IMG_20180716_180404.jpg
 
Kwa mawazo km dada ako ,mtabaki kuonewa nakupata tabu sana.

Ivi wanawake wa Bongo sijui mnann,,kwann HAMNAGA UWEZO WA KUHOJI ?? anaogopa kuhoji??

Mwambie ahoji.... Alafu ndomaana jana nmewambia " Mwanamme kumsaliti mkeo ni Upumbavu" ... Ona sasa ikiwa mwanamke atahoji na kimaelezo jamaa kazalisha huku nahuku, sindo mwanzo wa Kusambaratika Amani ? PUMBAVU KABISA WANAUME WAHIVI.!!!.

Lkn hamkunielewa !!
 
Kwa mawazo km dada ako ,mtabaki kuonewa nakupata tabu sana.

Ivi wanawake wa Bongo sijui mnann,,kwann HAMNAGA UWEZO WA KUHOJI ?? anaogopa kuhoji??

Mwambie ahoji.... Alafu ndomaana jana nmewambia " Mwanamme kumsaliti mkeo ni Upumbavu" ... Ona sasa ikiwa mwanamke atahoji, inamaana jamaa kazalisha huku nahuku??? PUMBAVU KABISA !!!.
Loh! Jamani
 
Huyo dada anaogopa nn kumwambia mumewe alichokutana nacho kwenye simu mwambie amuonyeshe mumewe asiogope mwanaume amefikia hatua ya kuambiwa na mchepuko eti unangoja nn kumfukuza mkeo mwambie aendelee kukaa kimya asubiri siku ya kufukuzwa
 
Kosa alofanya ni kushika simu. Tuanzie hapo kwenye hili kosa kubwa hayo mengine yana solvika tu kirahisi
Yaaan kafanya vibaya kushika simu?? Acha mambo ya Mfumo Dume...

Dada yupo sawa, alafu mkeo ,yann unampangia mashariti ya kushila simu??? .

Hapo nikwamba Mungu kampa dada Maono ili amuonyeshe Ujinga wa mmewe na kwamba Siri sio siri tena.
 
Huyo dada anaogopa nn kumwambia mumewe alichokutana nacho kwenye simu mwambie amuonyeshe mumewe asiogope mwanaume amefikia hatua ya kuambiwa na mchepuko eti unangoja nn kumfukuza mkeo mwambie aendelee kukaa kimya asubiri siku ya kufukuzwa
Asanty my
 
Yaani mimi mtu mzima unaniambia Myuuu kweli?

Nimejitafakari saana na kujitathimini nachoweza kusema..... kama umeamua kuishi haya maisha ya kunisonya mfuu endelea tu wewe.
Kaka tuheshimiane,stress zako za maisha usiniletee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom