Ya Kikristo
Anna
Janeth
Brenda
Lucy
Grace
Catherine
Elizabeth
Ya Kiislamu
Asha
Khadija
Rahma
Zaynab
Zuhura
Nuru
Amina
Nje ya majina tajwa hapo juu ' Ukioa ' tu wenye majina mengine jua umeona...
Wakuu, Heshima yenu sana,
Kuna msichana nilianza kumtongoza tangu mwezi wa 4 mwaka huu, hadi sasa tunakaribia kufunga Mwaka HOOOLA,
Miezi ya katikati alikuwa mara aonyeshe mwelekeo wa kukubali...
Wadau habali za majukumu nimewaletea Uzi huu ukiwa Kama ulivo ni ushuhuda WA kweli kabisa.
Nimekaa nao Kama siri lakini roho yangu imeshindwa kuamini Kama ni Mimi niliye mtendea ukatili mpenzi...
Maadili ya kiafrika yanatuelekeza kutochangia chumba na watoto wetu wakati wa kulala hususani usiku ambapo mambo mengi na maongezi ya kifamilia kati ya baba na mama hufanyika.
Maongezi ya baba na...
Habarini wakuu, kuna dada mmoja ni jirani yangu nimetokea kumpenda sana nimejaribu kuzungumza nae kuhusu hisia zangu kwake imeshindikana nitumie mbinu gan nimhonge ili anikubalie naombeni ushauri...
habarini wana JF natafuta mpenzi amabaye atakuja kuwa mke mbeleni, awe tayari kupima ukimwi, awe black au weupe asilia na si wakununua dukani, awe chini ya miaka 30, awe na elimu mwisho ya form...
Kuna mwanamke tunafanya nae kazi,ni rafiki yangu sana,na huwa tunapiga stori mbalimbali,na hata zile stori za kikubwa maana tumekuwa marafiki kazini mpaka tumezoea kila kitu
Na huyu mwanamke...
Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro...
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume kukutambulisha kwao na kujitambulisha kwenu.
Wanawake wengi wanapotaka kuishi na wanaume ambao hawajafunga ndoa nao au wamezaa nao wana kitu wanakuambia “Njoo...
Shost yangu tulimaliza nae kidato cha nne, yeye alikuwa wale ma sister do wa town. Tuko boarding lakini siku ya school disco hawa madada sijui walitoa wapi make up wakati wengine urembo ukikuwa...
Habari wakuu
Natumaini mko poa, ningependa tushirikishane jambo/hali ambayo imekua kikwazo kwang kwa muda mrefu, kama kijana suala la mahusiano ya kimapenzi alikwepeki nimekua kila nikitongoza...
Kuna msemo unasema with age comes wisdom but sometimes age comes alone.
Lakini utafiti wa hivi karbuni unasema age comes with wisdom.
Huu mwaka nimeingia 30 years old, soon naaza 31. Mambo...
kipindi cha nyuma nilikua kwenye mahusiano ambayo yalikua motomoto sana ila yalikuja kugeuka na kua machungu sana ,maana yalikuja sababisha tukaachana tena aliniacha kwa kisa kikali.
saizi naona...
Kwanza kabisa nianze kwa shukrani za dhati kwa wale walionishauri kwa kina na kunijulia hali na maendeleo yangu japo nilichelewa kujibu ila ushauri wenu niliufanyia kazi. Pia niwashukuru...
kwenye familia yetu tumezaliwa 6 mimindio wa 6 watoto wotebaba yao ni mmoja kasoro mimi wa mwisho nilizaliwa baadae baada ya mama na baba0kuachana wote tumelelewa na mama tuu tokea utotoni...
Kwa sasa hivi wanaume wengi ndoto zetu sote ni Mungu kitujalia ...kupata wanawake wenye Folder za maana kwa nyuma ...lakin ndo ivyo ..wanawake wenye Chura kuwapata sasa hivi mpaka uwe na Dow maana...
Poleni kwa mapumziko
Niende kwenye Mada husika direct.
Please naomba ieleweke uzi huu haujakusudia kuonyesha shambulio la haibu, ila it's just my opinion.
Kama wasemavyo wahenga "uzuri wa...
Mi binafsi kila siku lazma nitongoze/kuomba contact walau mwanawake mmoja au wawili ili kuchangamsha afya ya akili na kuifanya simu isiote kutu,haijalishi kama watakubali ama kukataa but...
Hellow wadau,
Huku mtaani kwetu ucku wa kuamkia leo kumetokea kisa ambacho kimenipa msukumo wa kuomba nipate mawazo yenu!
Kuna njemba mmoja imelazimika kukimbia na kwenda kusikojulikana...
Habari za asubuhi wana jukwaa.....Bila shaka sote tumeamka salama salmini
Kuna hili suala ambalo limeshika hatamu kwenye maeneo mengi hapa nchini hasa huku kwenye mitandao ya kijamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.