Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga. Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko? Kajibu...
0 Reactions
96 Replies
13K Views
Hey wanandugu, Kuna kitu gani special na wanawake/wadada wa Kisukuma kulinganisha na wa makabila mengine? Nawasikia vijana wengi wanapanga kuoa huko, na wengine wanasikitika kuwa lau wangejua...
2 Reactions
370 Replies
46K Views
Mahusiano yetu hayakuwa mazuri,mahusiano ya upande mmoja huwa yanaumiza mno..tangu mwanzo kulikuwa na tatizo lakini nilijipa moyo atajirekebisha ,siku zikakatika nikawa namsaidia kila kitu kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salamu wadau kuna shetani kawaingia wanawake SKU hiz jamani hawana uvumilivu KBS,urafik uchumba ndoa imekuwa shida kuendsha maana wadada uvumilivu hakuna huwii!!!!!
2 Reactions
5 Replies
713 Views
Yani upo room na bonge la dada kajaaliwa haswaa, shepu shepu, kiuno nyigu, guu la konyagi, rangi tamu kama kajipaka chocolate ila alipoharibu tu kakupigia bonge la boxa tena la kiume chata "TOMMY"...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
Juzi kati nilikuwa na Dada moja kwa lengo la kupanga utaratibu wa marriage and total packages wakati wa mazungumzo akatoa hoja kwamba alisomeshwa na wazazi wake hivyo mapato yake ataelekeza kwao...
15 Reactions
156 Replies
9K Views
maan huy wangu sasa si wa umelalaj wala umeamkaje ila ukimuuliza anasema mm sijamkataa sijamchukia na bado anannipenda sim hapokei sms hajibu ukimwambia nnna shida ananiuliz unaumwa au?kama huumwi...
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Mimba zisizo tarajiwa zinakujaje wakati siku za hatari Ni Saba TU katika mwezi Ina maana wanawake hamjui siku zenu vizuri au inakuaje mpaka single mothers wawe wengi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna kitu hii huwa naisikia sana kwa watu wazima,zamani kabla ya miaka ya tisini wasichana wengi walikuwa wanatafutiwa wachumba, au wazee wa jirani au ukoo fulani wanaleta posa moja kwa moja...
1 Reactions
80 Replies
11K Views
Asalaam wana bodi. Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni...
8 Reactions
167 Replies
36K Views
Msaada tafusili ya hii ndoto - JamiiForums 1/Nimeota niko lami natembea aisee nimepishana na magari kama 10 tofauti hayafanani ila ni mazuri Atari,mbele nikakutana na Mshikaji anabaiskeli nzuri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa, baadhi yetu tumeshafikia huko,, wengine tunakaribia na wengine huenda baado sana. Lakini ni vizuri tufahamu kuhusu huyu mdudu ambaye wenzetu wanamuita 'mid-life crisis'. Hii ni hali...
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari marafiki naitaji mpenzi atakayekuja kuwa mama Watoto Wangu miaka siyo kigezo heshima Na ukweli ndicho cha muhimu mm nafanya kazi nimejiajiri naomba nayy awe amejiajiri au kaajiriwa asante...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu, poleni na majukumu ya kazi za leo. Niwatakie usiku mwema wale mnaotoka kazini saa hizi mrejee majumbani kwenu salama, wale mnaoingia kazini saa hizi niwatakie kazi njema. Kuna siku...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
1/Nimeota niko lami natembea aisee nimepishana na magari kama 10 tofauti hayafanani ila ni mazuri Atari,mbele nikakutana na Mshikaji anabaiskeli nzuri nae nikaijarisha kuendesha nikamludishia lkn...
1 Reactions
19 Replies
9K Views
Habari zenu mabinti wa jf:- Husikeni na kichwa cha habari hapo juu: Kipato,umri,rangi,umbo n.k vyote hivyo sitazingatia, cha mhimu awe mwanamke tu! Kwa yeyote ambaye ataguswa moyoni na ujumbe huu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni kua mpenzi wangu mzuri nimpendae kwa dhati ya moyo wangu mwezi huu wa Tisa anaenda masomoni nje kwa mda wa miaka 2, wakuu moyo wangu unasononeka kummic kwa mda ote atakao huko na kukosa amani...
2 Reactions
78 Replies
6K Views
Dah nina mwanamke Wangu kanipgia simu eti kaota nimefariki wadau hapa nafikiria kumuacha amekua na mawazo ya ushirikina muda wote alafu anasema eti nimuoe kuna ndoa hapa????
1 Reactions
64 Replies
6K Views
Jamani jamani yani mke mwanamke wangu anapenda sana kuchunguza cm yangu text zangu afu pia akiona namba ya mwanamke kwenye cm yangu akimtilia shaka tu basi anamtongoza kupitia cm yangu alafu...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Mwaka 2009 nilikuwa Mkoani Singida kikazi. kipindi hicho nimehamishiwa huko nilishazoea mazingira na watu wa singida kwa ujumla. nilikuwa na dada yangu mdogo alikuwa anasoma SAUT Mwanza. hivyo...
26 Reactions
80 Replies
9K Views
Back
Top Bottom