Duuuh mawazo yameniandama, amani sina kabisaa

Duuuh mawazo yameniandama, amani sina kabisaa

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,369
Reaction score
3,178
Ni kua mpenzi wangu mzuri nimpendae kwa dhati ya moyo wangu mwezi huu wa Tisa anaenda masomoni nje kwa mda wa miaka 2, wakuu moyo wangu unasononeka kummic kwa mda ote atakao huko na kukosa amani japo ni jambo la kheri kujiendeleza kamasomo.
Tafadhali kwa wenye uzoefu na hali kama hii ninayoipitia naombeni mawazo yenu mliwezaje kusastain mahusiano yenu ilihali mkiwa mbali mbali..
 
Ni kua mpenzi wangu nimpendae kwa dhati ya moyo wangu mwezi huu wa Tisa anaenda masomoni nje kwa mda wa miaka 2, wakuu moyo wangu unasononeka kummic kwa mda ote atakao huko na kukosa amani japo ni jambo la kheri kujiendeleza kamasomo.
Tafadhali kwa wenye uzoefu na hali kama hii ninayoipitia naombeni mawazo yenu mliwezaje kusastain mahusiano yenu ilihali mkiwa mbali mbali.
Vumilia tu kijana mwache mwenzako akaongeze maarifa!
 
Ni kua mpenzi wangu mzuri nimpendae kwa dhati ya moyo wangu mwezi huu wa Tisa anaenda masomoni nje kwa mda wa miaka 2, wakuu moyo wangu unasononeka kummic kwa mda ote atakao huko na kukosa amani japo ni jambo la kheri kujiendeleza kamasomo.
Tafadhali kwa wenye uzoefu na hali kama hii ninayoipitia naombeni mawazo yenu mliwezaje kusastain mahusiano yenu ilihali mkiwa mbali mbali..
Kaza moyo tu kamandaa
 
tatizo unawaza kwa miaka hiyo miwili utaishi vipi bila kubanduana

tafuta part time maana huko anapokwenda na yeye anawaza pamoja na hilo
Ahahaha hapana mkuu sio kubanduana tu ila ni ule uwepo wake tu
 
Long distance relationships,I've been there and it never worked out bruh.
 
Back
Top Bottom