Nkonzi JR
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 324
- 195
1/Nimeota niko lami natembea aisee nimepishana na magari kama 10 tofauti hayafanani ila ni mazuri Atari,mbele nikakutana na Mshikaji anabaiskeli nzuri nae nikaijarisha kuendesha nikamludishia lkn cha kushangaza akapita shehe mmoja kavaa kanzu mbele kaichomekea kwenye suluali yake imekuwa kama shati lakini nyuma kaiachia ila suluali aliyovaa ni suluali yenye rangi ya suluali niliyokuwa navaa secondary
2/naota sana kuhusu pesa na leo Nimeona nimempa mtu koini mimi nimempa koini ya 100
Msaada wajameni
2/naota sana kuhusu pesa na leo Nimeona nimempa mtu koini mimi nimempa koini ya 100
Msaada wajameni