Zawadi ya sumu.....simulizi ya kweli

Jimmywatanzania

JF-Expert Member
May 8, 2015
457
250
Mahusiano yetu hayakuwa mazuri,mahusiano ya upande mmoja huwa yanaumiza mno..tangu mwanzo kulikuwa na tatizo lakini nilijipa moyo atajirekebisha ,siku zikakatika nikawa namsaidia kila kitu kwenye masomo mpaka Maisha yake yote,yaani kila kitu kilikuwa juu yangu.Mungu akamsaidia akachaguliwa hapo udsm.miezi miwili ya mwanzo tulikuwa vizuri ila ilipofika DEC kila kitu kikabalika mawasiliano yakapungua au kwisha kabisa,SMS zake zilikuwa mbili tu' umeamkaje?na za asubuhi"hapo ndiyo amemaliza mtoto wa kike lakini sikukata tamaa nilimsaidia hasa ukizingatia ni yatima.........
 
Top Bottom