Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani jamani yani mke mwanamke wangu anapenda sana kuchunguza cm yangu text zangu afu pia akiona namba ya mwanamke kwenye cm yangu akimtilia shaka tu basi anamtongoza kupitia cm yangu alafu...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Mwaka 2009 nilikuwa Mkoani Singida kikazi. kipindi hicho nimehamishiwa huko nilishazoea mazingira na watu wa singida kwa ujumla. nilikuwa na dada yangu mdogo alikuwa anasoma SAUT Mwanza. hivyo...
26 Reactions
80 Replies
9K Views
Habari wakuu, Kuna aina za hasira za wanawake hasa wanapoudhiwa na wapendwa wao. Ukishaona kakasira muache, hasira zikiisha mambo yatakuwa poa. Muhimu umjue hasira zake zilivyo. Mi wangu ananuna...
13 Reactions
104 Replies
14K Views
.Kwanza,hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea hivyo anakuwa mtu wa masharti, mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali. Pili,anapata kigugumizi...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Jana tu nimetoa uzi kwamba nilimuambia mke wangu kiasi cha mshahara wangu nakuona kama nimefanya kosa la jinai.wadau mbali mbali wakakoment na kutoa yao japo asilimia kubwa walinilaumu sana sana...
15 Reactions
100 Replies
10K Views
Siyo Siri kama kuna Kizazi cha Watoto wa Kiume nchini Tanzania ambao wanapelekeshwa ama na Wapenzi wao au Wake zao basi ni hawa waliozaliwa kati ya miaka ya 1986 hadi mwaka 2000. Wengi wao ndiyo...
7 Reactions
37 Replies
48K Views
Uzuri wa huyu Bint hana Gharama...Kitambaa Mita moja unaweza kumshonea vipedo hata 30
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Juzi juzi hapa kama miezi 3 iliyopita nilikua Mwanza. Katika mizunguko yangu nikamkumbuka binti mmoja mrembo ambae nimemtongoza toka mwaka 2015 ila tulikua hatujawahi kukutana live anipe tunda la...
22 Reactions
93 Replies
9K Views
Heshima kwenu waungwana Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni sababu zipi ambazo humfanya mwanamke amwambie mpenzi wake kwamba awe anamcheki mara kwa mara iwe kwa sms au kwa kumpigia kabisa ...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nina demu ambaye yeye ndio alinitongiza na ana mtoto mdogo. yeye ana miaka 18 na mimi nampenda but sijawahi hata siku moja kufikiria kufanya naye mapenzi .Na ndio kinacho nishangaza kabisa na ana...
3 Reactions
87 Replies
7K Views
Kuna huu msemo unaosema kwamba "mwanaume by nature yupo kwaajiri ya wanawake wengi" na ndio maana ni ndoa chache sana ambazo hazihangaiki na michepuko Siku hizi kama mwanaume yupo kwenye ndoa...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
1. Yuko busy sana na Kazi na kutafuta Pesa / Fulusi? 2. Ni dalili ya Ugonjwa wa Uchafu unaomuanza? 3. au ni Moja ya Silaha yake pale akutanapo na Adui ili Nyasi zimkate vizuri? 4. Anakupa Ujumbe...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu, Nina mke wangu Nesi, Wakati anasoma, alisoma na mtoto wa kigogo mmoja mkubwa nchi hii Sasa sijui hakumwona wakati huo chuoni.. Mimi nimeopoa jiko, nimelitunza, sasa analiona limewiva...
5 Reactions
82 Replies
9K Views
IKIWA UTAKUBALI KUOLEWA NAMI BASI USINIPIKIE HIVI Tembele katika upishi wake wote.....Hii kwangu nikiliona tu nashiba ghafla...Nawachukia hadi wauzaji wake sujui kwa nini....Sina aleji nayo ila...
3 Reactions
98 Replies
10K Views
Habari zenu, I hope nyote mu wazima na mnaendelea vizuri na majukumu. I have a huge problem, actually nina matatizo mengi kifamilia ila naomba niwaeleze hili ambalo limenishangaza sana sana and...
8 Reactions
151 Replies
18K Views
Sizunguki naenda moja kwa moja kwenye mada.. Imekuwa ikiongelewa sana hapa jf na watu weng kuamini kuwa mwanamke kuwa na bwawa ni kutokana na kuingiliwa au kushiriki na wenye magobole makubwa au...
6 Reactions
54 Replies
19K Views
Wakuu kama ilivyo juu naombeni ushauri, Wife nilimtajia kiasi cha mshahara wangu kutokana na umakini wake na kutokuwa na tamaa ila naona kama nimekosea hivi, maana deni kidogo utasikia mwezi huu...
10 Reactions
193 Replies
20K Views
Tulikua tumezoea mtu mwenye pesa anaweza akafanya jambo lolote, mimi tofauti yangu mtu mwenye pesa anaweza akafanywa chochote,..kwa hiyo lazima mjue hii tofauti" RAIS MAGUFULI
1 Reactions
2 Replies
1K Views
There is this girl I met at my working place in the mid last year, we exchanged contact that day, and one thing led to the other and we started dating. We are really into each other and I can...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom