Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

Mjomba Mkude

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
287
Reaction score
119
Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.
 
Ukikuta kaanika vyupi vyake na wewe fua zako anika hapo hapo, tena weka jua ya zakwake kwamaana kamba zimejaa,
 
Matatizo na changamoto za kuishi mabanda ya uwani! Sasa vyupi vitaanikwa wapi kama sio uani?

Serious unahitaji msaada kwenye hili? Msaada gani haswa? Tumpangie mwenye nyumba wako sehemu ya kuanika nguo zake? Ingekuwa anazianika chumbani kwako ndani ndio tungejua mtata huyo binti.

Usije ukadhania tofauti ukatongoza mwishoni ukaangushiwa jumba bovu
 
Asalaam wana bodi.
Mimi ni kijana nimemaliza chuo miaka mitatu imepita,sijaoa,nikabahatika kupata chumba cha kupanga hapa mjini, na nimekaa hapa kwa takribani miaka miwili sasa.,cha kusangaza ni tabia ya binti wa mother house kwa siku za hivi karibuni imebadilika sana.,akifua nguo anaanika vyupi vyake kwenye kamba iliyopo jirani na dirisha langu tena anazisogeza upande wa nyumba nnayoishi,wakati upande we nyuma ya nyumba yao kubwa kuna kamba za kutosha za kuanikia nguo,yeye anakuja kuanikia upande wangu,wakati mwingine utakuta chupi mbili kazitandaza pembezoni kabisa jirani na dirisha. Leo nimetoka kazin mapema kidogo ili niwahi kufua cha.kushangaza ile nafika nakuta kamba imejaa vyupi na blazia mpka ikabid niahirishe. Nimevumilia nimeshindwa naomba ushauri wakuu nifanyeje,maana nguo nyingne anaanika kwenye kamba nyingine lakin zake za ndani lazima aanike jirani na dirisha langu.
Nimechoka wakuu.
Hivi angekuwa anakuja ndani kwako na kanga moja, ungekuja humu jukwaani kuomba ushauri?
 
Muulize kwanini anaanika vyupi vyake dirishani kwako!?... Otherwise unamtamani lakini una mtafutia sababu ya kumnyatia...
 
Yule mkwere kaharibu sana taifa Letu.
Yaani na wewe umemaliza chuo?
suala dogo kama hili la kutatua mwenyewe,unakuja kulianika hapa?

Kata hiyo kamba basi,kama unaona anakukera
Utakuta Binti wa watu hata habari na wewe hana,Basi tu shobo zako.
 
Sijawai kuona mtego faint kama huu. Yani hata kugundua kuwa ni mtego ni kipaji. Na wewe ukipata nafasi anika boxer zako nje labda mtakonekt the dots
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom