Uvumilivu upo?

Uvumilivu upo?

Jadka

Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
56
Reaction score
27
Salamu wadau kuna shetani kawaingia wanawake SKU hiz jamani hawana uvumilivu KBS,urafik uchumba ndoa imekuwa shida kuendsha maana wadada uvumilivu hakuna huwii!!!!!
 
Salamu wadau kuna shetani kawaingia wanawake SKU hiz jamani hawana uvumilivu KBS,urafik uchumba ndoa imekuwa shida kuendsha maana wadada uvumilivu hakuna huwii!!!!!
Ukizijua nyakat tulizonazo wala husumbuki kuumizwa kichwa kuhoji uvumilivu badala yake utajikita kutafuta mwenye uhafadhali wa kuvumilia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom