Mwanamke wangu kaota nimefariki

Mwanamke wangu kaota nimefariki

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
6,302
Reaction score
9,812
Dah nina mwanamke Wangu kanipgia simu eti kaota nimefariki wadau hapa nafikiria kumuacha amekua na mawazo ya ushirikina muda wote alafu anasema eti nimuoe kuna ndoa hapa????
 
Dah nina mwanamke Wangu kanipgia simu eti kaota nimefariki wadau hapa nafikiria kumuacha amekua na mawazo ya ushirikina muda wote alafu anasema eti nimuoe kuna ndoa hapa????
mmekutana pipa na mfuniko
 
hahahahahhahahahaaaaaa....sasa si kapata maonooo
Dah nina mwanamke Wangu kanipgia simu eti kaota nimefariki wadau hapa nafikiria kumuacha amekua na mawazo ya ushirikina muda wote alafu anasema eti nimuoe kuna ndoa hapa????
 
mkuu Viva89 ndo maono ya kufa mtu naogopa hapa
lakiniiii, hata ukimuacha si bado ndoto ipo pale pale...cha kufanya ni yeye kusali na kukemea hiyo ndoto, na wewe pia usali.

Lakini pia kumbuka kuwa maisha mnayoishi hayampendezi Mungu kwa hiyo, anza kutubu na kufanya yale yanayompendeza....TOA POSA, OA!..maisha yaendelee, if not, achana nae
 
Mara nyingi mtu huota kitu anacho ogopa
Ukiogopa kitu flani kila mda lazima utakiota siku, ukiwa kila mda unaogopa kwenda jela na uko mahabusu lazima utaota uko jela
Ukimaliza mda wako jeshini kama we ni wa mujibu lazima utaota umerudi jeshin tena
Ni mara chache sana mtu kuota kitu anachokitamani
Ndo maana mtu muoga ni virahisi kuota ndoto ya majini akiwa pekeake usiku

Wengi wanasema anania mbaya na wewe, angekuwa na nia mbaya asinge kupigia na kukuambia
 
Back
Top Bottom