Mume wa jirani yangu kaingia chumbani mwangu...

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.

Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko? Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.

Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue Au nimwachie nyumba?

Naomba ushauri kabla sijapiga yowe la mwizi
 
huo muda wa lupost ungekuwa ushafunga mlango na kutoka hahahaah!

usipanic kaja kuangalia mechi tu huyo, ustaarabu mwite na mkewe waje waangalie wote wape na soda ya ujirani
 
Anakujaga kila Siku, vua Kama juzi alipokuja cheki match ya arsenal na chelsea!

Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.
Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko?
Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.
Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue ? Au nimwachie nyumba? Naomba ushauri kabla sijapoga yowe la mwizi
 
Acha aangalie mechi; baada ya mechi kuisha akija na story nyingine, omba ushauri hapa JF.
 
Hahaaaa! Huyo itakuwa Yanga, Mkewe Simba, kakimbia NGEBE ZA MKEWE!!!! Mapenzi ya timu pinzani tabuuuuu!
 
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.
Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko?
Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.
Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue ? Au nimwachie nyumba? Naomba ushauri kabla sijapoga yowe la mwizi

kumbe wewe super sport adi chumbani?hongera kwa hilo.
 
Hakuna chochote. Yaani unavaa seating duh

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.
Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko?
Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.
Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue ? Au nimwachie nyumba? Naomba ushauri kabla sijapoga yowe la mwizi

hahaaaaa.umeshazoea kumuingiza kwako ndo maana ..au leo anakuja mwingine sasa unaogopa watagongana maana kaja bila taarifa
 
Jamani, niko chumbani navaa, mara naona jitu hilo lisha ingia bila hodi wala nini, eti limekuja kuangalia match ya Simba na Yanga.
Nimemuuliza kwake si kuna tv, kwanini usiangalie huko?
Kajibu eti Star Tv haionekani vyema ndo maana kaja kuangalia kwenye Super Sport.
Jamani, nifanyeje, nimuite mkewe naye aje kuangalia mpira? Au nimtimue ? Au nimwachie nyumba? Naomba ushauri kabla sijapoga yowe la mwizi

Hapo penye bold, kama kweli aliingia ukiwa unavaa bila hata hodi, huyo jirani hana adabu! Maana hata kama alikuwa hajui kama unavaa, basi angetoka nje kukupa nafasi ya kumalizia kuvaa na siyo kuingia bila aibu na kung'ang'ania kuangali mpira. Kwanza ataangaliziaje mpira chumbani kwa binti wakati madume ya ukweli huangalia mpira kwenye jumuia kama baa au sehemu za wazi?

Kwa nidhamu mbovu aliyoionyesha, mwachie nyumba na wewe nenda kwa mke wake umwambie umekuja kuongea maana mumewe anaangalia mpira kwako! Naamini likasheshe la hapo la mkewe, atajifunza. na siku nyingine hatarudia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom