Ulienae anapenda kukutumia SMS nzuri na mwenye kauli mzuri na mahaba zaidi kipindi ambacho wewe mfuko wako umenona pesa, basi jua kabisa kwamba huyo sio MPENZI wala MKE wako bali huyo ni MPENZI na...
Kwamba jamaa usiku wa jana alikuwa gesti na mchepuko,huku na huku umeme si ukakatika na hakuna genereta, basi bana kakurupuka kurudi nyumbani bila kujikagua hamadi anafika home mida ya saa nne...
Katika muendelezo wa mada zangu za ushauri wa bure kwa wanaume wenzangu, naomba kuwaongezea na hili.
Mwanaume lazima uchague kitu kimoja utakachokua unafanya katika mahusiano.
Usije kujisumbua...
Jana jioni natoka kazini kuna wadada wa2 tunafanya kazi mtaa mmoja waliomba lifti niwasogeze, huyo mmoja ni mdangaji kiasi sasa katika story wakamuongelea jamaa mmoja wa mtaani alikua na mahusiano...
Hapa mshana atahusika
Bikra ukiitoa baada ya miaka 20 haina faida ni laana .
Mimi nikiwa mtoto makete huko nlipewa taji la hii makitu nilipata kesi 3 pamoja ,babu alinitandika sana,usiku bibi...
Katika maisha ya mwanadamu kuna vitu viwili. Kuna mambo ambayo ni muhimu na kuna mambo ambayo ni kipaumbele.
Ni wewe tu utachagua ufanye mambo gani.
Pia kuna maswali ambayo ni muhimu ila si...
Habari zenu wanajukwaa? Ninatatizo kuhusiana na kupokea taarifa ya ujumbe wa message kutoka JF lakini ninapofunguwa ili nisome sioni ujumbe wowote.
Msaada tafadhali juu ya hili tatizo
Hii 50 kwa 50 imewapa kiburi sana wanawake wa kitanzania. Kiburi cha kijinga… Wamekuwa na visauti sana.
Wanaona wako sawa kabisa na wanaume katika kila nyanja za kiuchumi, kiuchumi na kisiasa...
Rafiki yangu na jirani yangu hapa nyumba ya pili, tarehe 08/07/18 alipokea simu kutoka kwa shost kuwa ana matatizo na mumewe anaomba aje alale mpaka kesho yake. Shost alijitoa kwenda kumchukua...
Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza.
1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani...
Kwamba jamaa usiku wa jana alikuwa gesti na mchepuko,huku na huku umeme si ukakatika na hakuna genereta, basi bana kakurupuka kurudi nyumbani bila kujikagua hamadi anafika home mida ya saa nne...
Habari za asubuhi wanandugu.
Nimeamua rasmi kuacha kutumia kileo/pombe, baada ya kuwa mtumwa kwa zaidi ya miaka 12, pombe ina athari nyingi sana wanandugu, si nzuri kiafya, kijamii, na kiuchumi...
[https://encrypted-tbn0]
Kufanya mapenzi ni mojawapo ya vitu vichache ambavyo watafiti wanasema vinamfanya mtu aburudike huku mwili wake ukifaidika kutokana na tendo hilo.
Utafiti umeonyesha...
Karibia mwezi umeisha msichana wangu akilalamika juu ya kuumwa na tumbo. Kazi yangu inanifanya niwe on the road almost 25 days of the month; hivyo amekuwa akienda hospt mwenyewe. Kama majuma...
Biashara ya hawa jamaa imefikia hapa wanadhani sasa ni muda mwafaka wa kuwashawishi watu wengi zaidi kuzikimbilia dawa hizi wafanyapo ngono..Uenda mamilioni ya watu wakafulika kuyanunua ili tu...
Kwa watu wazima hasa wale wa 80+ mwendo unaanza kuleta matatizo. Hata safari za kwenda chooni kujisaidia haja kubwa na ndogo inakuwa ni mtihani.
Wengi wanaogopa kula chakula na kunywa maji kwa...
Nimetokea kuwaelewa madem vicheche maana hawasumbui sumbui kutoa mbunye.
Sio demu anakuzungusha mda mrefu kukupa mbunye halafu unakuja kuta ni mbovu yani bwawa la mtera lina hafadhari.
Ukiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.