Hivi ulishawahi kupewa zawadi na mpango wa kando zawadi kama simu ,saa etc sasa ukifika nayo nyumbani mme/mke anaipenda na umeshadanganya ya kuwa hiyo zawadi umenunua hii issue ilishakutokea...
Mara nyingi tunaambukizwa na wale tunaowapenda na kuwaamini kupita kiasi. Ni nadra sana kupata gonjwa la zinaa pale unaposema napita tu. Magonjwa ya zinaa yapo mengi sana. Yanayotibika na hili...
Nimetoka zangu kijijini mkomaindo wilaya ya masasi toka juzi nimefikia hapa temeke kwa kutopenda shida na bughuza za mji huu nimekuwa nashinda maskani moja hapa ambayo ina vijana kadhaa wa kiume...
Hakuna kitu kinakera kama kuingia lodge unakuta wana vitanda vizuri lkn godoro la hovyoo, ukilala kama shimoni bwana, bora kitanda cha hovyo godoro liwe zuri. Afu unakuta lodge nzuri tuu kwa...
Habari wazee
Naomba ni-share nanyi hii tabia ya dada zetu wa siku hizi maana inaota mizizi kila uchao. Hivi ni kwanini ukimtongoza msichana muda huo huo njaa na chakula anachagua chips kuku? Hivi...
Katibu wa wanaume sichoki kuwaelimisha tumeambiwa kuishi na wake zetu kwa akili Kwa lugha nyingine wasio na akili hawataweza kuishi na wake zao.
Kwahiyo kwa chochote unachofanya ilinde sana akili...
Inaelekea wiki ya pili sasa huzuni imeujaza moyo wangu na masikitiko kibao
Ni kawaida familia tofauti zikiwa kwenye ukoo mmoja lazima kuna tofauti za hapa na pale kimtazamo hasa zile koo zenye...
Dah! List ni ndefu wakuu
Nimewakumbuka wote
Hasani hawa ambao ndoto zao zilikatishwa
1:Ben Saa8
2: Daudi Mwangosi
3:Azory Gwanda
4:Mawazo
5: Akwilina
6:Malya
7:.....
8:.....
9...
Mimi ni binti wa miaka 24, mkristu (RC) nimeajiriwa, sina mtoto.
Natafuta mwanaume wa kunioa, umri 26-35, mkristu, asiwe na mtoto.
Nitafute tmaganga21@gmail.com
Nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada.
Kilichonisukuma mpaka kukosa usingizi muda huu saa 6 usiku ni haka kadada
ambako kamekuwa kanaigiza na muigizaji maarufu comedy Lukas Mhuvile...
Hi ilikuwa miaka ya 2000 mida ya saa mbili usiku .mke wa jilani yetu alikuja home anavuja damu alipo ulizwa kulikoni akadai kapewa kipigo Na mumewe. Mzee alikuwa mwenye kiti wa mtaa . kutokana Na...
Jamani hivi karibuni kuna hali imenitokea nashindwa kuelewa
Yaani siku hizi najikuta nawaza mpaka naanza kuongea mwenyewe kwa sauti jamani unakuta nipo ofisini, barabarani, nawaza mambo yangu...
Salaaam wananchi wa JMT under Kichaa JPM
Kama mada inavyojieleza
Nashangazwa sana na hii tabia ya hawa mabinti wa kileo hasa wale waliokwisha balehe na kifuani kuanza kuota matiti
Hawa mabinti...
Jamani kwa nini ongezeko la wanawake wenye vitambi limekuwa kubwa?
Idadi ya wanaume inapungua lakini ya wanawake inaongezeka!
Kitambi kwa mwanamke kinapunguza mvuto au hamlijui hilo nyie wanawake?
Kama unamuhonga mwanamke ili akupende basi jua una kosea sana.
Hautakiwi kumuhonga mwanamke ili akupende ila unatakiwa kumuhonga mwanamke kwa sababu unampenda.
Upendo ni kutoa hata Mungu alimtoa...
Katika kipindi kigumu ambacho nimepitia ni wakati huu ambapo mke wangu mpendwa ananinyima tendo la ndoa kisa simkuni itakavyo hivyo kujikuta ninamchafua na kumuacha na hamu kubwa ya kutaka...
Katika mahusiano kugombana na kupatana ni kitu cha kawaida sana na ukiona watu wanagombana na wanapatana tambua kwamba neno "nisamehe" limetumika sana.Hakuna mahusiano ambayo hayana changamoto...
Naamini mke anaweza kupatikana mahali popote pale Mungu ndo humwongoza mtu kupata mke mwema
Sifa zangu
Umri:30
Elimu:Chuo
Kazi:Nimejiajiri
Dini:Mkristo
Sifa za nimtakae
Umri:19-32
Elimu...
Za siku,kuna katoto flan a,daaah unajua kama ni fisi ni fisi tuu
Kuna siku nimeenda site kwangu sasa akat naingia ile njia iko kimya sana,wapita njia ni m1 m1...nkasimama ninunue vocha...
Direct to the point
Huku kitaa mambo ni [emoji91], tena fire ile mbaya .
Kuna zari limenitokea, mtoto mzuri, independent, charming and really she is beautiful ila kazimika nami.
Kiukweli kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.