Katibu wa wanaume sichoki kuwaelimisha tumeambiwa kuishi na wake zetu kwa akili Kwa lugha nyingine wasio na akili hawataweza kuishi na wake zao.
Kwahiyo kwa chochote unachofanya ilinde sana akili yako kuriko kumlinda mwanamke. Mwanamke siku zote huwa ana tabia ya kuchungulia akili zako kama achunguliavyo mtu kwenye bakuli siku akigundua akili zako zimepungua hapo ndipo patashika huanzia!!!
Haya mambo huchangia sana kuharibu akili
a) POMBE
Akili ni sawa bustani, ikipigwa sana na jua inanyauka na ikimwagiliwa inastawi. Tupunguze pombe zinaharibu akili. Yaani wakati wa kuoa tulinukia marashi, leo tupo kwenye ndoa tunanukia pombe unatarajia nini? Ukiona dalili hizi tambua bakuli la akili linafunuliwa na kufunikwa; wanatuchungulia.
b) UMASIKINI ULIOPITILIZA
Pesa ukose lakini hata mikakati ukose? Wanawake wanapenda zaidi kuishi kwa mikakati. Mwanamke atakusikiliza kama utaweza kuwa na mikakati ya pesa, hata kama mnalala chini leo lakini ukiweza kumpa mikakati ya kulala kitandani kesho hatakudharau maana atafunua bakuli atakuta limejaa. Lakini ukimpa mikakati ya hovyo atachungulia pia bakuli la AKILI.
C) KUKOSA HOFU YA MUNGU
Huku nako wanawake wanapachungulia sana. Bakuli la akili hujaa mapema sana ukiwa na hofu ya Mungu. Mwanamke hapendi mwanaume katili, yaani kama mda wote umejaa ubabe, amri, vitisho chinja chinja ngumi mkononi, mwanamke kila anapokuona mkojo unambana, tambua kabisa AKILI yako inakaukia.
d) LISHE DUNI NA KUTOFANYA MAZOEZI
Mwanaume usipende sana kula vyakula kama chipsi na mafutamafuta. Pendelea kula visivyokobolewa pia piga mazoezi hata hapo chumbani piga push-up au ruka kamba. Hii itasaidia kulinda AKILI yako. Ikumbukwe akili ndiyo injini inayopereka damu kwenye MASHINE, akili ikilala na machine italala. (Ukubwa Wa mashine sio jukumu lako, Ni kumkosoa Mungu na Kupungukiwa akili kunakopelekea uongeze ukubwa)
Hazina yako ilipo ndipo moyo wako ulipo, akili ni hazina
Note: mwenye akili pia pesa humfuata, ukilinda akili umelinda vyote.
Tahadhari: mwanamke pekee ambaye haihitaji akili yako ni kahaba, yeye anahitaji pesa.