Yes, leo nimetembelea ndugu zangu huku Buhongwa. Baada ya kuuza mitumba pale Makoroboi, huwa tunajiachia kucheza draft.
Kameibuka kamjadala kiutani utani kumjadili dogo mmoja ambaye kamlipia...
*TYPES OF HUSBANDS:*
*1: BACHELOR HUSBAND*
Does things on his own without consulting wife. Hangs out a lot with friends more than wife. Not serious about marriage life.
*2: ACIDIC HUSBAND*
Is...
Ndugu zangu ambao mna husudu uzinzi amini nakwambia,utavaa kondomu,utachukua tahadhali zote lakini ukiwa umebobea kufanya ngono lazima utaenda peku tu siku moja na utanasa.kwa hiyo kondom...
Wewe mwanamke Upo kwenye hatari ya kutobeba mimba (Ujauzito) kama umekuwa ukitumia kondomu kwa kipindi kirefu.
MADHARA MENGINE:
*Muwasho
*Uzazi kuwasha/vipele kwa ndani
*Majira kubadilika
*Harufu...
Heshima kwenu wakuu,
Kama unataka kuumizwa kimapenzi na mwanamke, basi usiwaze sana, just kuwa mwaminifu, mpende kwa dhati, usimdanganye yaani kuwa mkweli kwake. Muoneshe jinsi unavyompenda hadi...
Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine kupelekea mahusiano hayo kufa.
Hivyo uaminifu ni muhimu...
Salam zenu wanaJf.
Kuna binti mmoja nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda fulani sasa kwa kuwa ninahitaji kumuoa, nikamuuliza kuwa nikitaka kumuoa nipite taratibu zipi, akanijibu ifuatavyo:
1...
Habari zenu wapendwa
Kwa wale wenye uzoefu kwenye mahusiano naomba kujuzwa, hivi inapotokea unagombana na mpenzi wako mara kwa mara mpaka mnachuniana kwamaana ya kwamba hamuwasiliani zaidi hata...
Ladies and gentleman napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama co-founder wa #team RAFIKI nikiambatana na mwenzangu utafiti kuwatambulishia rasmi(official announcement) ya #team RAFIKI...
Niende kwenye Mada yangu moja kwa moja.
Kwanza niseme kuwa sina hasira wala chuki na hawa wadada ila ni katika kuwekana sawa.
Unaweza kuwa sehem halafu bidada akapita karibu au mkawa wote kwenye...
Baadhi ya Watu (bila kujali jinsia) kwa tabia zao hawakustahili kuolewa/kuoa.
1. Mtu ana-complain kila kitu hata kama ni cha maendeleo ya familia.
2. Anaweka vitu moyoni (hata kama uliomba...
"Kama kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa unaweza kusema si ya kweli, lakini wale wanaoyapata hayo...
Onyo :
Kabla sijaandika chochote marufuku kumtag Daktari wangu kwenye comment zenu za ajabu kiufupi alinitoa shimoni kaniweka kwenye ramani kwahiyo mniache.Ananijua vizuri sana sema nyie tu ndo...
Aman iwe kwenu wadau.
Leo ikiwa ni siku ya jumapili, Nimedhamiria kumshtaki mpenzi wangu kwa ufisadi ambao amekuwa akinifisadia kwa miaka kadhaa sasa.
Nimeamua kukata shauri hapo kesho jumatatu...
Jamani ni mwaka umeisha sasa toka nipate hii kazi.
Nakumbuka kipindi nahangaika kutafuta kazi nzuri niliachana na wanaume kwa sababu nilikuwa nafanya kazi ya mshahara mdogo Hivyo nilikuwa na...
Hapa sitaki wajumuisha wanawake wote tawatenga katika makundi mawili
Kundi la kwanza kuna wale wanawake ambayo wapo responsible na majukumu ya familia kwa kila kitu na mume yupo ila mume...
Poleni na Majukumu ya Siku ndugu. Nina swali nisaidieni mawazo yenu
Nimepata mchumba ambaye anatoka familia ya kishua haswa na mimi sio wa kishua hata kidogo.. Je itafaa kumwoa?
una mtazamo gani...
Cha kwanza na kianze.
-Nimeambiwa nikanunue embe usiku huu.
Mama Kijacho tangu iwe confirmed mambo ni moto.
Kwa upande wangu lakini.
-Kuna siku alinipigia simu mchana kua anataka kachori mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.