Matatizo yatokanayo na mapenzi

Matatizo yatokanayo na mapenzi

kachonjo

Senior Member
Joined
May 25, 2018
Posts
161
Reaction score
198
Hi ilikuwa miaka ya 2000 mida ya saa mbili usiku .mke wa jilani yetu alikuja home anavuja damu alipo ulizwa kulikoni akadai kapewa kipigo Na mumewe. Mzee alikuwa mwenye kiti wa mtaa . kutokana Na mamlaka aliyo nayo akamwifazi usiku ule uku mama akimpatia huduma ya kwanza . Usiku huo Mimi Na Mzee tulimfwata jamaa wa yule mwanamke . Mzee alimwambia yule jamaa kuwa mkeo yupo nyumbani ivo njoo kesho pindi asila zitapo pungua tufanye usuluishi pia twende ukamuone mkeo alipo .

Kesho ilipo fika . kwenye upatanishi jamaa alidai kuwa tatizo ni mkewe kamfunga mumewe nyeti .anashindwa kutembeza dushe kwa michepuko nailotatizo akuwa nalo.jamaa akadai usibitisho ni anao kajaribu kwa michepuko kibao dushe dolo akirudi kwa mkewe dushe linasima mnara 4G .pia kaenda kwa sangoma kambiwa kuwa mganga aliye mfunga kafa ivo asubili tu miujiza ya mungu.

Ukapita mwaka jamaa alijinyonga Na kuandika ujumbe kuwa "Na watakufa kama Mimi .ata uzao wa tumbo lako wata onja machungu ulio nipatia''

Yule mwanamke akilala tu Na mwanaume lazima afe pia mtoto Wake wakiume pia dushe lake alisimami kama baba yake . Walienda kwa mganga kujua tatizo waliambiwa yule jamaa alienda kulipa kisasi . Akamfunga mkewe akilala Na mwanaume lazima afe pia akamfunga mwanae dushe ili kumkomoa mkewe ili apate uchungu kuona mwanae dushe dolo. Mganga akasema dawa ya kutegua ni mtoto Wake achukue kisu Na kumcoma kifuani mama yake Adi afe .

Dogo tulisoma wote msingi kidato .kanipigia simu anataka ni mshauli afwate masharti ya kumchoma kisu mama yake au abaki dushe dolo.
 
Nipe namba ya mwalimu wako aliyekufundisha a, e, i, o, u kwanza uandishi gan huu sasa[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Watu kama nyie ni wachache sana wengi ndio maisha yao. Mtu akiguswa kidogo breki kwa waganga
Ninadhani ni pamoja na huduma mbovu za afya na uduni wa elimu. Kufanyiwa vipi morning hospitali ni karibu laki tatu wakati kwa mganga hapo mmemalizana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] stress za mapenzi ni zaidi ya kufilisika mkuu
Asante kwa kulitambua hilo,

Maana nlishachezewa faulo hio katika mahusiano sinta sahau milele

Ntiandikia uzi soon nilitoe duku duku moyoni [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Wasali deliverance prayer curse zote hizo zitavunjika.
Ni matatizo ya kulazimisha ndoa kwa mtu asiyekupenda
Haya maombi humwitaji mtu awe anamwamini Mungu vizuri na yafanywe na mtu sahihi.

Si wachungaji wote hutumia maombi haya.
 
Back
Top Bottom