Nimekuwa silencer nguli kwenye hili jukwaa pendwa la MMU. Ki ukweli nakiri ni mdau mkubwa katika jukwaa hili. Niende moja kwa moja kwenye mada
Wajuzi wa mapenzi wamekuwa wengi kwenye hiki kizazi...
Wadau, nimeishi na mke wangu miaka 12 sasa. Kwa miezi 9 iliyopita mke wangu alianza kuumwa magonjwa ya ajabu. Nikilala na mke wangu, napata maumivu makubwa sana chini ya kitovu. Nikienda kupima...
Ilikuwa tarh 17/01/2016. Kwa mara ya kwanza nafika Dar es Salaam, nilifikia kwa jamaa ghetto kiumeni na baada ya mwezi mmoja brother niliyefuatana naye pia akaja Dar. Nilikaa kwa jamaa miezi 7...
Nakumbuka miaka ya 1990's nikiwa nasoma kidato cha Nne mkoani Singida!
Enzi hizo shule yangu niliyokuwa nasoma ilikuwa na umbali wa Kilomita kama 15 hivi hadi mjini ambapo ndipo kuna Guest House...
Habari zenu,
naishi Dar es salaam , natafuta mpenzi ambaye baadae anaweza kuwa mume wangu.
WASIFU WANGU
-nina umri wa miaka 23.
-nina stashahada ya uongozi wa biashara kutoka T.I.A
-sina mtoto...
Habari wakuu
Kuna mshikaji nashindwa kumuelewa kwa siku mbili hizi kwenye eneo la kujipatia ridhiki kwani anijibu nikimsemasha na sio kawaida yake ila cha ajabu ni pale wanapokuja watu wengine...
Habar zenu wana jf natumai nyote mpo poa kabisa
Niende moja kwa moja kwenye mada husika na kama kichwa cha habar kinavyojieleza
Kiukwel vijana wengi hasa tuliozaliwa kuanzia 90s na kuendelea...
*Usivunje uhusiano na mtu sababu tu umegundua kuwa sio rafiki.*
Kwenye maisha hatuhitaji marafiki tu. Tunahitaji watu wote.
Kila mtu atakufaa kwa namna tofauti. Hata wale wasio marafiki, kuna...
Habarini wapendwa wa jukwa letu pendwa la MMU.
Bila kurundika maandishi yasiyo na maana niende moja kwa moja maada, wapendwa hapa tusiwazungumzie single mother waliofiwa wenza wao( wajane)...
Nimeona niiweke hii mada sababu nimekuwa nikiishi na rafiki yangu mmoja nimetoka nae sekondary baada ya kumaliza chuo tukapanga chumba kimoja na kila mtu akapata kazi, sasa baada ya mda jamaa...
Hakuna kitu kinachekesha huku Duniani, Mtaani, Majumbani, Vijiweni, Maofisini, Mashuleni na Vyuoni kwetu au kwenye vikao vya familia kuona mtu anatoa povu anajisifia amefanya kitu fulani lakini...
Kutokana na ubishoo wa kula machips na vyuku mwendokasi pamoja na mamisosi fekifeki huku tukiona ni ushamba kula ugaIi wa Mitama na nafaka za asili na mapochopocho asilia kumepelekea majanga...
Nimekuwa nikidate na girlfriend wangu kwa takribani mwaka mmoja sasa. Wote tumekubaliana tusishiriki tendo la ndoa(kugegedana) hadi pale tutakapofunga ndoa/kuoana.
Tumekuwa wawazi juu yetu kwa...
Baada ya mahusiano yetu kufa tutakubaliana tubak marafiki, huwa sipendi kuwa na uadui na ma x,
Jambo la kuwasiliana na kupeana ushauri au hata mawazo ya kimaisha huwa ndo kitu pekee kinachobak...
Swali hili nalilenga hasa kwa wanaume wenzangu ingawa hata wanawake wanaweza changia
Kwasisi wanaume huwa hatupendi kuonekana kwamba ni wadhaifu mbele ya jinsia ya kike hata kama ukweli upo hivyo...
Gold digger ndilo jina maarafu South Africa kwa vijana wanao date na wanawake waliowazidi umri, hivi karibu jina limebadirika na sasa wanaitwa /tunaitwa Ben 10!!. Kuna siku katika mishe mishe...
Wazima wadada humu,
Timu kiumeni samahani kidogo jaman, na ieleweke tu sijasaliti kambi na bado nipo katika utekelezaji wa ilani ya kiumeni Kama tulivyokubaliana kwenye kikao kilichopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.