Hakuna kitu kinakera kama kuingia lodge unakuta wana vitanda vizuri lkn godoro la hovyoo, ukilala kama shimoni bwana, bora kitanda cha hovyo godoro liwe zuri. Afu unakuta lodge nzuri tuu kwa muonekano.
Fanya ukaguzi wa chumba kabla hujalipa, mimi siwezi kulipa kabla sijakagua kitanda nione kama kiko sawa.Sina godoro