Zawadi uliyopewa na mpango wa kando

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Hivi ulishawahi kupewa zawadi na mpango wa kando zawadi kama simu ,saa etc sasa ukifika nayo nyumbani mme/mke anaipenda na umeshadanganya ya kuwa hiyo zawadi umenunua hii issue ilishakutokea ulifanyaje?
 
Labda kwa wanawake ila mipango yetu ya kando wanaume huwa haitoi zawadi hata mia labda kama wewe unahonga sanaa
 
Jamaa yangu alipewa pafyumu na kimada wake kufika home mke wake kaipenda ikabidi ampe dada wa watu akashukuru.laiti angejua kuwa imetoka kwa mwanamke mwenzake hata asingepokea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom