Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu!! Unapozungumzia watu mahiri na mashuhuri katika fani za mitongozo. Fani za kurusha Vesi na swaga basi mimi ni mmoja wapo. Ni kijana niliyefuzu na kupitia mafunzo yenye viwango vya...
12 Reactions
67 Replies
6K Views
Wakuu samahani naomba kuuliza tu,kwa nini wadada wa kizenzibari hawana chura asilimia kubwa? Yani ni wakuhesabu sana ukiona ana chura ulizia utaambiwa eidha mama au baba wa huku tanganyika...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
4 Reactions
110 Replies
11K Views
Wazima humu?? Ni hivi nina, rafiki yangu amepatwa na janga, nimeona nililete huku kwa wazee wa busara maana ni kama nimeshindwa hivi kumpa ushauri sahihi... Jamaa baada ya kumaliza form 6...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ulishawahi kupewa sifa wakati wa kugegeda ama baada ya kugegega? Je ulishawahi kupewa zawadi?je unakubali kuwa sio wanwake wote wana toa sifa za uongo?,kiasi bibie akakushukuru, akakusifu,akakupa...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Mimi ni binti wa miaka 23, sijaolewa lakini nina mchumba wangu kashajitambulisha kwetu na kila kitu kimekamilika, niko chuo mwaka wa pili naingia mwaka watatu. Sababu za kuja huku nikuomba...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu, mashinikizo ya kuoa au kuingia kwenye ndoa baada ya kufikisha miaka 30 hayako kwa wanawake tu. Mimi mwaka huu nimefikisha miaka 30, kila ndugu ninaekutana nae tukikaa kidogo tu ananiuliza...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Mm n kijan wa miak 23, mwanafunz w mwk w 3 chuo n niko single. Natafut mpenz w kike mwny sifa zifuatazo: Umri: miak 19-22, Dini: yoyote mahali: awe anaishi dar. Kw yoyot alie tayar nichek kwny...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wakuu! Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja. Watu wengi wanapogombana na wapenzi wao hata pengine wao ndio wamesababisha ugomvi huo hujawa na kiburi na kushindwa kujishusha ili kumaliza...
10 Reactions
45 Replies
6K Views
Kama mlidhani Mwanaume kupenda kumpiga Mwanamke ni Kosa au Dhambi au Ushamba basi jua kuwa Wewe ndiyo ' umepotoka ' na uko nyuma na dunia hii kwani katika hali isiyokuwa ya kawaida ( japo Kwetu...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Unakuta nyumba moja ina wapangaji zaidi ya watano! Wapangaji hao wanashare luku,bafu,choo,n.k Sasa imekuwa ni mbaya kwa jamaa mmoja baada ya kujikuta kumbe anashare mke wake na mpangaji mwenzie...
1 Reactions
57 Replies
9K Views
Devion nipo mwaka chuo mwaka wa tatu, niliwahi kupata mtoto nikiwa mwaka wa kwanza ila alifariki. Sasa wazazi wanalazimisha kuwa nioe tu nipate watoto, kwa kuwa sijui nimebakiza siku ngapi za...
4 Reactions
64 Replies
6K Views
Nadhani mko salama kabisa. Mimi nikiwa na stress za kuachwa au kukataliwa kwanza nafuta namba ha huyo mtu, narestore simu kabisa[emoji23] Naingia chumbani kwangu, nafanya usafi, nafua, napika...
9 Reactions
113 Replies
15K Views
Hakika nahesabu kama ni hasara sana kwangu maana kila ninapomtokea demu kadri tunapoendelea kufahamiana kumbe nagundua ni bonge la tegemezi japokuwa wengine huonekana kuwa wagharama sana kwa...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Najua wengi mtakuwa mnakubaliana na mimi ya kwamba katika maisha siku zote ndugu ambao wanatokea upande wa mama huwa wana msaada mkubwa kuliko upande wa baba . Kwa mfano ukiwa na tatizo...
12 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari za siku wakuu! Kabla sijapoteza mda naomba kwenda kwenda kwenye mada kuu moja kwa moja Ni Mda kidogo tangu nimjue Mungu, Kiufupi ninampenda Mungu na nimemkabidhi maisha yangu! Nimeamua...
5 Reactions
120 Replies
17K Views
Shimboni Shani,. Wakuu kila nikitaka kuleta hii mada nasita, any way leo naona nimwagee huu mkasa. Kuna manzi angu wa kitambo sana(3yrs nw) tuko kwenye mahusiano. Pamoja na vurugu vurugu zake...
36 Reactions
141 Replies
13K Views
Nimekuwa na tatizo LA kupenda kungonoka kila siku tofauti na mwenza wangu ambaye anataka Mara tatu kwa wiki Hali hii imesababisha Mimi kutokuwa na maelewano mazuri na bebi mana anaona kama namkera...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Sasa naamini kwamba hapa duniani kuna ' maajabu ' na ' ubishi ' wangu katika hili umefiki mwisho leo. Jamani nimetoka Kununua Kitasa Kipya cha Mlango japo ni Kidogo ila Funguo zake ni Kubwa kiasi...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Nahisi sasa huu umekuwa ugonjwa sugu kwangu. Kila nikijitahidi kuacha mashindwa kuvumilia, yani bora nitafute namba from nowhere ili nitongoze. Nina mchumba...
0 Reactions
93 Replies
10K Views
Back
Top Bottom