Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

kweli inapunguza mvuto vibaya.vitambi vyenyewe vinakua kama vya wahindi waliofilisika

Zamani lilishamiri sana kwa wanawake wa kaskazini na ikasemekana ni kwa sababu ya mbege
Lakini sasa kila mahali hata pasipokuwa na mbege unawakuta wengi tuu
 
ugali na wali maharage. hii kitu si tz tu ni sehemu zote za afrika zinazotumia ugali kama main msosi.
 
Lishe nzuri. Halafu wengi wao hawafanyi kazi nzito za mikono na kutembea kwingi kwa miguu. Hivyo hawaunguzi mafuta mwilini. Vijijini kinamama wenye vitambi ni wachache kwa sababu ya shughuli nyingi za mikono, kutembea, nk.
 
ukweli kitambi kwa mwanamke kinapunguza urembo,,,mazoezi na diet ni muhimu,,,ngoja nifanyie kazi cha kwangu!asante kwa kunikumbusha
 
Ofa hizo za bieri na nyama choma. Sasa cjui inakuwaje mama kitambi na baba naye kiambi
 
Sasa ukute kapiga nguo ya kumbana arghhhhh....fanyeni mazoezi jamani..
 
leta ufumbuzi basi sio unalaumu tu...?:teeth:

solution

best-abdominal-exercises.gif
 
Hata ukifanya mazoezi - inabidi uwe na discipline ya chakula - pendelea kunywa maji zaidi ya soda/beer
kula moderately - sio unajaza sahani ya chakula kama bouncer - mh! kifupi ni hivyo - nikipata muda naweza kuweka proper diet hapa
 
Back
Top Bottom