Kama kichwa kilivyo...
Mimi sijaoa bado lakini nimeona mateso wanayopata wanaume waliooa wanawake wasio na shughuli yoyote, hakika ni mateso endelevu.
Mwanamke asiye na kazi haoni uchungu wa...
Katika kutafuta maisha nilipanga nyumba moja na vijana watatu kutoka nchi za Kiarabu. Vijana hawa walitoka Syria, Lebanon na Iraq. Umri wao wote walikuwa kati ya 23-26, wote walikuwa wanafunzi...
Wakuu mimi naanza na kumuambia mwanamke ikiwa upungufu wake ana lishepu bovu bovu yani tako lipo sawa na mgongo,alafu mguu una pinde pinde tele,matumbo manne tumboni huyu simuambie live kwamba...
Salaam kwenu nyote, ni naomba kujua swali hili kiroho zaidi kwa wenye uelewa
Je? Ni sahihi kutoa bikra ya mwanamke ilihali ukiwa hauna malengo ya kuja kuwa nae maishani?... na mimi nimeulizwa...
Wanaume wengi walio oa wanapenda kuficha simu zao wawapo na wake zao nyumbani au popote wanapokuwa pamoja.
Wengi hudiriki hata kwenda nayo bafuni, wengine saa ya kulala hutoa sauti na kizificha...
Ni hayo tu....na hyo ndo nguv ya bikra wajamen,huyu dem tumeachana kitambo ila had leo tunawasiliana,yuko mbal,..ila,cha ajab bado ananiendesha kama gar bov..anawake nna wangu ila ndo hvyo
Sasa...
Wataalamu wa Afya wamethibisha hakuna kesi ya maambukizi ya Ukimwi yaliyotokana na kulana denda hivyo denda ni salama
Asili ya denda ilianzia kwa Ndege mbalimbali kama njiwa,na kama tujuavyo...
NILIKUWA NAMSIKILIZA DOCTOR WA SAIKOLOJIA KIPINDI FLANI IVI CHA TV ALIKUWA AKIZUNGUMZIA MADHARA YA KUNYIMWA PAPUCHI UPANDE WA MWANAUME .......
1.MATATIZO YA AKILI NA KUCHANGANYIKIWA KISAIKOLOJIA...
Naomba msaada wanajamvi na wazoefu. Ni mwezi sasa tangu nimpoteze mke wangu kwa shida ya uzazi. Ameniachia watoto 3 miaka 14 , 9 na 3. Mimi nina 44. Napima changamoto za kuoa tena au kubaki bila...
Nauliza kidogo!..
Hivi inachukuwa muda gan na mpenz wako mpya mpaka kuamua kufanya tendo la ndoa!? (Kujamiiana)
Kwanini baada ya kufanya sex mara nne au tano wapenz wanaacha kutumia condom na...
Natumaini mko salama.
Chukulia wewe unasoma chuo cha afya uko karibuni kumaliza.
Dada yako kapata mchumba, wametambulishana nyumbani, posa kila kitu taratibu zikafuatwa, basi ikabaki kutoa...
Hii tabia imekithiri sana kwa wadada walio wengi kupenda kuomba pesa kabla hata ya kutoa papuchi.Unakuta mtu umeingia nae kwenye mahusiano hata wiki mbili hazijaisha lakini kashaanza kutangaza...
Habari zenu wana jukwaa, mimi ni kijana wa kiume, makazi yangu ni dar es salaam maeneo ya chanika
Lengo na dhumuni kuja mbele yenu nahitaji binti ambaye yuko tayari kuingia katika mahusiani nami...
Binti mmoja alipita na gari yake, akamuona mzee mmoja akiuza mayai kando ya barabara. Akamuuliza 'Unauza bei gani?' Yule mzee akajibu "Tshs 250" kwa kila yai mjukuu wangu'
Yule binti akamwambia...
Kama una tatizo la nguvu za kiume chukuwa Haba Sauda ya mafuta.
Matumizi:-
1 Weka mafuta ya Haba Sauda nusu kijiko cha chai halafu paka kwenye uume wako wote mpaka kwenye makor**odani.
2 Weka...
Yafaa nini kufanya masturbation na upo kwenye mahusiano???
vyote kwa pamoja hupelekea orgasm/mshindo je hali hiyo inafanya kuwe na mwingiliano??????
je mmoja kwenye mahusiano akipiga punyeto...
Ng'ombe, akishatoa maziwa ya kulisha familia nzima, hurejea katika malisho yake taratibu. Lakini kuku, akishataga yai moja hupiga kelele ili kila mtu ajue. Je! Yai hilo alilotaga laweza kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.