Masaada wa haraka kabla hali haijawa mbaya zaidi

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Jamani hivi karibuni kuna hali imenitokea nashindwa kuelewa

Yaani siku hizi najikuta nawaza mpaka naanza kuongea mwenyewe kwa sauti jamani unakuta nipo ofisini, barabarani, nawaza mambo yangu najikuta shatoa sauti jamani daaah badae najishtukia.

Hii hali inajirudia mara kwa mara naombeni msaada

Mimi ni kijana mdogo tuu 25yrs
 
Mkuu unajua watu wengi tuna ugonjwa wa matatizo ya akili sema atujui ila Kuna ishara nyingi zinajionyesha sema tu nashindwa kuzitambua sababu miili yetu inaongea zaidi kuliko matendo yetu
 
You are overthinking about issues in your life.

You don't need to.

Maisha ndo haya haya. Nothing new under the sun.

So don't stress over things you cannot control.
daaah let me to stop this but how can i make it happen?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom