Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jaman naomba kujuzwa, kuna jamaa aliniambia kuna jela na gesti, ana maanisha nini.
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Niaje wana jf. Straight to the point, Leo huyu mchumba wangu alinihidi kuja ghetto, cha ajabu kabla hajaja rasmi aliniomba nimuandalie chakula, basi kidume nikandaa msosi wa maana, baada ya muda...
4 Reactions
115 Replies
13K Views
Aisee huwa nashangaa Sana why Msichana akidate na Diamond lazima anakuwa na haters na watu Uanza kuandika sana mabaya yakee hata Kama ni ya zamanii!?? Ambao huachana nae baada ya kuliwa tu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sijui nimeweka jukwaa sahihi. Ok kifupi ni kuwa leo asubuhi nimekutana na meseji ya mke wa rafiki yangu aliyoituma akiniuliza: "Shemeji uliwahi ona/sikia mwanamme kumchukia mkewe akiwa mjamzito?"...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa ' Mtaalam ' mmoja wa Saikolojia ya Mapenzi amesema ya kwamba ni vigumu sana Wapenzi wawili / Wanandoa walio mbali Kijiografia kwa sababu mbalimbali za Kimaisha wakakaa huko bila '...
13 Reactions
130 Replies
13K Views
Huyu dada ni zaidi ya Miezi 6 tangu tumefahamiana kiumri amenizid maana yeye ana miaka 30 na mm nna miaka 24 , maisha yake ya uchumi sio mabaya maana anafanya kaz na sio tegemezi Tatzo ni...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
The video says more. .... The voice..... The tone .... The body.... Anavotizama kwa mahaba.... Kubembeleza..... Hilo jifua na kono likinikumbatia uuwiiih sitamani aniachie hata kidogo. I...
0 Reactions
4 Replies
977 Views
Kuna mdada nilidate naye online tukakubaliana kuwa siku ya kuonana tutakuwa tunaagiza kitu kimoja kimoja; hivyo tukakubaliana kinywaji cha kutumia. Guiness + Cocacola Siku tulipoonana ilikuwa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
To make the story short, kuna mdada nilikutana naye kwenye mwendo kasi stiry za hapa na pale kidume nikaambulia nambali za siku end of day one. Baada ya mwezi tukawa mahabani na huyu manzi. Dhaa...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
Leo nina muda wa kuchati, mwanaume yoyote anaetokea mkoani ani PM tupeane ujanja wa hapa na pale. Kama unajijua wewe ni mwanaume wa dar tafadhari pita hivi.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mahusiano kuna vioja vingi lakini sometimes Wanaume huwa tunafake Sana Love ili mradi Upate kuridhisha mwili wako... unatumia kila gharama,Kilaa Mbinuu,Kila Uongoo kumrubuni mtoto wa watu...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
Kama umepotezana na ndugu,jamaa na marafiki na ungependa muonane kama sio kuwasiliana basi we kazana kutafuta fedha, yaani kuwa na mpunga tu wa kutosha. Suala la namba watajua wao watakako itoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nishaurini je mimi nafanya kazi mbali demu wangu anafanya benki mbali pia je kuna madhara yeyote?
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa...
17 Reactions
139 Replies
15K Views
Simple question kwenu wote. Ni yupi utampa nafasi ya kufunga nae pingu za maisha? Unayempenda sana au anayekupenda sana? Na kwanini? Nawasilisha. Analyse
4 Reactions
82 Replies
10K Views
Sifa awe mwenye upendo wa dhati na muwazi Umri kuanzia 20 to 27 .kwa mazungumzo zaidi anifate pm
1 Reactions
2 Replies
1K Views
28 yrs bado tupo kwa wazazi kula bure kulala bure hatuna shughuli yoyote ya kimaendeleo wala plan yoyote hatu somi tupo tu hatuna muelekeo wowote Mungu awafanyie wepesi na moyo wa subira wale...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Upo online, yupo online lakini kila mtu yupo busy na mambo yake, mnashindana nani awe wa kwanza kumsalimia mwenzake, kiburi, dharau vimejaa mioyoni mwenu, penzi lenu lipo tu kutambulisha kama...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Aisee , hapa home naishi na dada flani hivi ni nurse , bwana wake yupo mwanza kutokana na kumdadis sku moja ilaa daah nampa pole sna tena sna huyo bwana wake maana kuna ki janafunzi hapa ki benten...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums, Nina muda kidogo sijaingia humu, ila leo nilipopata nafasi ya kupitia nyuzi tofauti tofauti nimejisikia kushare na nyinyi ili. Siku kadhaa zilizopita ilikuwa ni siku...
91 Reactions
233 Replies
28K Views
Back
Top Bottom