Mwanamke wa benki

JF2012

Member
Apr 2, 2012
5
0
Wadau nishaurini je mimi nafanya kazi mbali demu wangu anafanya benki mbali pia je kuna madhara yeyote?
 
Mbali ni akhera na duniani. Wewe unazungumzia umbali gani nyakati hizi za utandawazi..
 
mi sijaelewa, au umekusudia ww unafanya bank, na yeye bank lkn mabali mbali?
Hilo suali umeliuliza km Jane, sory lkn
 
Tatizo hakuna labda wewe uyaanzishe,lakini nawe hapa unaomba ushauriwe jambo gani. Ukumbuke hapa kuna watu wa aina mbali mbali,wakati mwingine shida usiitafute ila ikupate.
 
Mkuu umeliwa, zima moto alaka, fimbo ya mbali aiuwi nyoka baba. mwambie amie karabu na sehemu unayo fanjia kazi mkuu acha kuzubaa utaliwa/ashaliwa tayali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom