Huyu demu kanichukia

Huyu demu kanichukia

functional

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
738
Reaction score
795
Niaje wana jf. Straight to the point, Leo huyu mchumba wangu alinihidi kuja ghetto, cha ajabu kabla hajaja rasmi aliniomba nimuandalie chakula, basi kidume nikandaa msosi wa maana, baada ya muda kidogo kweli mrembo alikuja ghetto, nikampokea kwa bashasha tele, huku nikijisemea kimoyo moyo, leo ni siku maalum kwa ajili ya kuonesha manjonjo, ya kila aina, basi mrembo alivyo maliza kupata msosi, tukapiga stories kidogo, baadae nikaanza kumshika na kumfanyia romance, lakini alinistopisha na kusema, ngoja kidogo baby, ikanibidi niwe mvumilivu, aliniomba simu yake ambayo ilikuwa pembeni kidogo, baada ya kumpa ile simu, alienda kwenye sehem ya kuandikia ujumbe ( SMS ) bila kuweka namba yeyote, kisha akanionesha ujumbe ule, ambao ulisomeka kwamba, baby nahitaj unilambe huku chini, ( yaani nizame chumvin) bahati mbaya sijawahi kufanya kitu kama hicho, basi nilikataa na aliondoka kwa hasira sana, sasa najiuliza sijui nimuombe msamaha au vipi, ushauri wenu muhimu wadau.
 
Jombaa umeharibu sana kutokupiga deki,alivyoondoka naamini alimtafuta mtu aliyezoea kumpiga deki na kapiga huku akimgegeda vya kutosha hiyo siku.We ungezuga tu kukubali huku ukiweka manjonjo mengine ili azime kabisa na kusahau hilo dekio,ungempiga kazi.
 
Pole kwa kubaki na njaa mithir ya mbwa mwitu mwenye njaa aliyemisi mawindo.
 
Kijana epuka zinaa
 
Jombaa umeharibu sana kutokupiga deki,alivyoondoka naamini alimtafuta mtu aliyezoea kumpiga deki na kapiga huku akimgegeda vya kutosha hiyo siku.We ungezuga tu kukubali huku ukiweka manjonjo mengine ili azime kabisa na kusahau hilo dekio,ungempiga kazi.
Me sijazoea kwanza naskia kuna kansa ya koo.
 
Subiri waje wazoefu wa kupiga deki watakushauri cha kufanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom