MUME: Mkewangu naumwa sana nasikia maumivu makali sana kwenye moyo naomba upige simu gari la wagonjwa lije,
MKE KAICHUKUA SIMU YAKE FASTA: Haya naomba password ya simu yako
MUME: Ok basi acha...
Saa 12:30 asubuhi ya leo niko macho lakini bado nimejilaza kitandani nikiangalia miziki ya injili katika kituo cha EATV mkono mwingine nimeshikilia simu yangu aina ya HUAWEI Ascend nikiangalia wa...
Katika maisha kuna kupanda na kushuka. Kunamuda tuna kuwa wabinafsi kupitiliza kunamuda tunajisahau nafsi zetu. Kwa kiasi kikubwa tuana jitahidi kubalance our love for others and love for our...
Habarini wadau,
Wakristo wengi wanaamini kuoa mke mmoja ndiyo sahihi kulingana na imani yao lakini biblia hiyohiyo inasomeka dhahiri jinsi Suleimani na Daudi waliokuwa vipenzi wa Mungu walivyooa...
Hii ni kwa wazazi na walezi wote hasa wale wa kipato cha chini na wanaishi mijini. Maisha hayajawahi kuwa rahisi na mzunguko wa hela ulivyobana sasa hivi Kwa kweli badala ya kushukuru kumekucha...
It’s True that, Wanaume/wanawake wengi waliyopo kwenye Ndoa au Mahusiano, wapo Kwasababu tu wamekutana na wenza wao kwa sababu fulani, hiyo sababu ndo ilipelekea wawe hivyo walivyo Sasahivi...
Habari za kutwa wananzengo Leo npo mtaani nimetongoza madem kama watatu wote wamenikataa sasa wadau wameniambia labda na gundu LA kukataliwa na wanawake eti maji ya habari ni kweli yanatoa gundu...
Tulifahamiana kipindi nipo shule moja uboyzini na yeye alikuwa anasoma shule ya girls. So tulikuwa tunakutana kwenye ma event sababu shule zetu zilikuwa partners. Kanipa mwaliko ana project na...
Habari wana jamii?
Naombeni ushauri wakuu. Mwaka juzi niliwahi kudate na mwanaume tuliyekaribiana umri sana. Baada ya miezi sita tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake.
Mwaka huu mwezi wa...
Habari wana MMU, nisiwachoshe..
Wiki kadhaa zilizopita niliamua kuachana na mwanamke ambaye nilikua nae kwenye mahusiano kwa takribani miezi miwili hivi..kiukweli tuliachana kwa ugomvi, na...
“Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya kama vile roho yako ifanikiwavyo” 3Yohana 2. Nilipotembelea Norhlea shule ya secondary ya wavulana huko Bulawayo, hili ndio lilikuwa...
Yaani huwa naumia sana nakosa kujiamini mbele ya wanawake,then huwa nawaogopa wasichana na sina uwezo wa kuangaliana na msichana face to face.
Sometimes hata salamu tatizo hadi labda anianze...
Ni swali ambalo napenda kuwauliza wana jamii forums najua nyie mnauzoefu mkubwa sanaaa, hivi ni kwann wanaume wengi walio ndani ya ndoa wanawaona wanawake wa nje ndio warembo sana, kiasi hata cha...
Wakuu salamu kwenu
Naandika Uzi huu kushare nanyi Janga lililonipata siku moja iliyopita
Nlipatwa na hamu ya papuchi nikachek fasta demu gani nikamle nikamkumbuka mtoto flani ana reseat paper...
WANA JAMVI ZA SAA HIZI...
NINGEPENDA KUFAHAMU HIVI HII AKILI YA MICHEZO HII KWA WATOTO TULIYOCHEZA AU WANAYOCHEZA...KISAIKOLOJIA WATOTO HUWA IDEA HII WANAITOA WAPI...MAANA WANA PRACTICE VINGI...
Kwa kiasi kikubwa maisha yanakupa kile unachostahili... Kwa miaka Mingi nimekuwa naishi low profile life huku nikipambana kutoka kwenye umasikini kwa kuongeza kipato na mtandao wangu wa...
Salamu zangu ziwafikie kwenu nyote Ndugu zangu wa jukwaa letu hili pendwa.
Basi leo mimi Alumn nimekuja na mawazo na maoni juu ya michango mbalimbali itolewayo humu ndani na washirika kwa mada...
JAMANI WANAWAKE KUNA MDA MNATAKIWA KUWAHURUMIA WANAUME KUMBUKA NA WAO NI BINADAMU .
Simu za kichina bhana ona nilichoandika sasa.
Yaani wanaume wananyooshwa kama MANCHESTER UNITED inavyokula...
Salamu nyingi kwenu wadau
Nimekuwa najiuliza sipati majibu kuhusu kulazimishana kufunga ndoa rasmi zinazotambulika na Serikali lakini hazipewi thamani inayostahili na sheria.
Utakuta mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.