Msoleka
Member
- Sep 24, 2018
- 24
- 16
Upo online, yupo online lakini kila mtu yupo busy na mambo yake, mnashindana nani awe wa kwanza kumsalimia mwenzake, kiburi, dharau vimejaa mioyoni mwenu, penzi lenu lipo tu kutambulisha kama nanyi ni wapenzi, hakuna raha wala amani katika uhusiano wenu kwa sababu hakuna anayetaka kujishusha, kaka zangu na dada zangu kuheshimiana na kutambua thamani ya mwenzi wako kwako ni silaha kubwa katika kuudumisha upendo wenu
Msoleka
Msoleka