rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,975
Katika mahusiano kuna vioja vingi lakini sometimes Wanaume huwa tunafake Sana Love ili mradi Upate kuridhisha mwili wako... unatumia kila gharama,Kilaa Mbinuu,Kila Uongoo kumrubuni mtoto wa watu kumbe umetamani tu Shape yake....Chura ulilee usepee! Kimbembe kinakuja ushamfunua na Binti wa watu Kazama kweli aisee unajitahdi Kufake na kupretend unampenda kumbe Humfeel hata kidogooo yani Sasa usiombe adake Mimba weee.....[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Iliwahi nitokea aisee Japo nlilimuacha lakini Hadi Kesho najihukumu maana alinipenda kweli..!
Je ushawahi kupretend kwenye mapenzi...mwisho wa siku ilikuwaje???
Je ushawahi kupretend kwenye mapenzi...mwisho wa siku ilikuwaje???