Mlio katika ' long distance relationship ' msidanganyane na ukweli ni kwamba kwa 99.999% wote huwa ' mnasalitiana ' huko mbali mliko!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,455
108,567
Kwa mujibu wa ' Mtaalam ' mmoja wa Saikolojia ya Mapenzi amesema ya kwamba ni vigumu sana Wapenzi wawili / Wanandoa walio mbali Kijiografia kwa sababu mbalimbali za Kimaisha wakakaa huko bila ' Kusalitiana ' mara moja moja kwa Wanaume / Wanawake wengine.

Kwa lugha iliyo nyepesi na nyoofu tu ni kwamba kuanzia sasa hivi kama una Mpenzi wako / Mumeo halafu yuko mbali nawe iwe kwa Siku 3 au 5 au Wiki au Mwezi au Miezi jiandae tu Kisaikolojia kwa kujua ya kwamba kwa 99.999% ' anakusaliti ' huko aliko.

Moja ya sababu Kubwa aliyoisema huyu ' Mtaalam ' ni kwamba kwa aina ya Vyakula ambavyo Wanadamu wa sasa tunakula vingi huwa vina ' Vichocheo ' vya ' hormones ' zinazozalisha sana Nyege ( Libido ) hivyo Mtu akivila tu basi ndani ya Saa kati ya 72 awe ni Mwanaume au Mwanamke lazima tu atasikia hamu ya Kukuyengeka ( Kumfanya ) au Kumbunyeka ( Kufanywa )

Nimalizie tu kwa kusema kwamba kama sasa hivi muda huu GENTAMYCINE natiririka na naserereka hivi na huu Uzi Mumeo au Mkeo au Mpenzi wako amekuaga amesafiri jua tu ya kwamba huko aliko / alikoenda kuna Watu ' wanakusaidia ' Kazi hivyo Wewe kuwa tu mpole na mvumilivu.

Nawasilisha.
 
Sure mkuu, muda huu nipo gheto kwa mwalimu wa shule ya msingi namtafuna. Jamaa yake yupo mkoa mwengine. Hapa ni kama kwangu nafanya venye mimi nataka.

Shikamoo! Ikanyage vilivyo hiyo ' Mbunye ' ya Mwalimu Mkuu huyo ili ikiwezekana hadi mtakapoamka Kesho asubuhi itoe pia na Chaki nyingi za Kufundishia hapo hapo Skonga / Shuleni Kwake.
 
Back
Top Bottom