rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Aisee huwa nashangaa Sana why Msichana akidate na Diamond lazima anakuwa na haters na watu Uanza kuandika sana mabaya yakee hata Kama ni ya zamanii!?? Ambao huachana nae baada ya kuliwa tu na kudate nae muda mfupi huwa Hawaandamwi Mfano Wolper..Penny...Mhe.... ilaa ukitaka ujenge nae familia muishi wote yani Utapigwa vitaa balaaa... Msichana akipiga nae picha tu bhas watu husema Ashamlaa..! Imekuwa too much aisee hata Kama Ukizidi kufanikiwa ndo idadi ya maadui inaongezeka ilaa yule Jamaa nae Ana moyoo Watz kila siku kumsakama!
Muacheeeee....
Muacheeeee....