Miaka 28 bado upo kwa wazazi

Miaka 28 bado upo kwa wazazi

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
564
Reaction score
889
28 yrs bado tupo kwa wazazi kula bure kulala bure hatuna shughuli yoyote ya kimaendeleo wala plan yoyote hatu somi tupo tu hatuna muelekeo wowote Mungu awafanyie wepesi na moyo wa subira wale wote mnaopitia magumu maishani!bila kukata tamaa!Good things happen to those who hustle.”!..... kupata si ujanja kukosa si ujinga haimanishi wote waliokosa hawakufanya juhudi na wala waliopata walikuwa na juhudi sana hii ndio dunia maisha ni vita maisha ni mapambano maendeleo si vitu maendeleo ni utu misingi ya maisha ni kuishi maisha ya amani na furaha uzima wa afya una kila sababu ya kumshukuru Mungu na kuamini kuwa mazuri yatakuja tu. Cha kuzingatia ni kufanya kazi kwa bidii. Tambua ujachelewa wala ujawai
Time will tell....
 
Nilianza kukaa ghetto nipo form two, ingawa nilianza kujitegemea fully nilipomaliza form six. Namshukuru sana mwenyezi ingawa Safari bado mbichi kwani sijafika ninapopataka.
 
ntafanyaje kazi kwa bidii akati sina kitu na naishi kwa wazazi..? au kazi za kuosha vyombo..!
 
Back
Top Bottom