Asallam/aleykum kwa waislam na Bwana Yesu asifiwe.
Kaka zangu kwanza msinielewe vibaya lakini napenda kuwauliza mnajifikiriaje mnapotumia maneno ya kukera kwa kinadada ambao ni kama dadazenu au...
Habari za majukumu
Mfano Gody amemuoa anastela, alafu mtoto wa mama yake mkubwa Gody (wakiume) yaani kaka yake Gody nae akaja kumuoa dada yake anastela (tumbo moja baba na mama mmoja).
Swali...
Kuna mengi huletwa humu jamvini ya kuwalalamikia, kuwaponda na hata kulaani WAKE zetu.
Siandiki hapa kupinga hayo, ila najua wapo WAKE wengi wazuri na wanalinda na kutunza ndoa zao na familia...
Habari za jioni ndugu zangu.sijawahi andika huku thread but i have to.Nawataadharisha wageni mnaokuja huku muwe waangalifu msije lizwa kama mimi.
Hapa naugulia maumivu makali maana nilimpa moyo...
Kama mko makini hasa hasa ME mtakubaliana namimi jamani wanawake kwenye awamu hii wanaomba hela sio mchezo.
Mtu unamtongoza leo asubuhi hata mzigo hujapewa kufikia jioni baby naomba hela nikanunue...
habarii za Asubuhii..Jamani loneliness is killing my soul.naomba mtu ambae anahitaji friendship itakayozaa mema hapo baadae tuwasiliane but am HIV POSITIVE na sioni tofauti wala shida ,,nipo...
Ndugu waendesha magari wenzangu.
Nimejitahidi na nimejaribu mara nyingi sana kurenew leseni yangu ya kuendesha magari makubwa kama trela au semi trela ila naona nimeshindwa.
Haya magari makubwa...
Habari wadada wa jf
Mimi ni mwanaume wa 30yrs.Ninaishi dar ni mwajiriwa,kipato cha wastani.
NB.kama kichwa cha habari kinavyojieleza,natafuta mwenza/mke ambaye atakuwa tayari tuoane na kuanzisha...
- Mimi ni kijana wa miaka 30.
- Sijaoa
- Nimeajiriwa na nina kazi nzuri tu.
- Natafuta binti / demu wa atakayekuwa girl friend wangu.
- Sina masharti yoyote: anaweza kuwa mweupe, mweusi, mrefu...
Mara nyingi inapotokea mzazi anaona kwa namna moja au nyingine mwenendo wa kijana wake haupo sawa huwa wana kauli zao.
Mimi binafsi nilikuwa sijatulia kabisa kwa kupenda totoz, mama hakuniacha...
Well, nilitengana na mzazi mwenzangu muda kama miaka 5 iliyopita sasa ni marafiki tu. baada ya hapo sijawaha na mahusiano rasmi sana ila sijagegedana nina zaidi ya miaka 2 na nipo fine tu...
Wana JF habari zenu!
Hii mada inawahusu wanaume ambao diyo wanaonekana kama waanzisha ndoa.
Je, ni muhimu au lazima kuoa pindi tu utakapopata ajira? Nauliza hivi kwa kuwa wanaume wengi ambao bado...
Habari za jumapili wanajf wenzangu
Mimi ni kijana wa miaka 30, nilipata utata pale nilipomaliza elimu kwani bibi yangu mzaa mama aliniita kijijini
Nilipofika tu bibi aliniambia mjukuu wangu pole...
Wapendwa maisha yanaenda na umri pia.
Humu sioni kama kunamtu wakuonekana nope.
Humu watu hawapo ambao wapo serious wengi ni wanamatani na pia wameshachoka vitu vingi sana.
Nimeweka moyo na muda...
Ukoo wetu wote ni mapacha.
Kwenye familia yetu tuko nane.
Wakike ni wa NNE
Wa kiume pia tuko wa NNE
Dada zangu wote wana mapacha tena kila wakipata mimba ni watoto wawili mpaka tatu.
Kaka zangu...
Kwanza niombe samahani kwa mama watoto wangu ingawa hajui kilichotokea
Ila kwangu nimeona ni risk sana na ningeweza kupoteana na familia na kushindwa kuwa huru
Nikiri tu kwamba nyege sometimes...
Habarini,
Nina imani wote hapa tunajua kuwa moja ya sababu inayofanya baadhi ya hawa dada zetu wajiuze ni umaskini (ugumu wa maisha) ila nimesikia tetesi kuwa kuna wengine wanajiuza kwasababu...
katika kuifanya ndoa iwe imara, tuzungumzie mavazi sahihi ya mke kumvalia mumewe wakiwa chumbani. kama kwenye nyumba mnaishi wawili tu, sioni shida mke kuvaa anavyotaka.hakuna kitu kibaya kama mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.