Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaani mabeki 3 ni watamu sana.. halafu hawana gharama.. wewe ni kujipigia tuu. ila usije ukapiga kavu!.. wengi hawajui hata bleed zao... wengine ongezeeni hapa..
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Am looking for mature lady only for sex and friendship, Am at Mafinga/Iringa, You should be at least 30-45 and HIV free.... More do not hesitate to write me rajabmohamed472@gmail.com
1 Reactions
2 Replies
2K Views
SIFA ZANGU - miaka 36 - mkristo - nimeajiriwa serikalini - nina mtoto mmoja - sijawahi kuolewa -naishi dsm SIFA ZAKE -nahitaji mume -mwenye upendo wa dhati - mkristo -muajiriwa/amejiajiri -umri...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Kifo cha huyu mdudu ni maarufu kushinda vifo vya wadudu wote
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kuna mwanamke nilimpenda sana ila kwa bahati mbaya ameshaolewa sasa juzi kati nikampost kaclip video kake akanitumia txt kuwa *haamini kama kweli nimempost* nikamjiibu "Amini kwasababu wewe ni...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Naombeni ushauri wadau, Karibu wiki sasa nime hack Facebook, Whatsapp ya mpenzi. Awali sikutaka presha ya kujiumiza roho hivyo sikutaka kumfuatilia. Juzi kati nikajaribu mautundu yangu.. Yesuuuu...
5 Reactions
161 Replies
29K Views
Eti niwaulize nyie; Mzigua90 Demiss yna2 @MissNatafuta @moneypenny Mzigo ni wako kwa nini watu wakupangie matumizi Achia kitu wana tutililike navyo, Kauli mbiu nikija mimi Zero IQ kipanue,akija...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
DADA ZANGU WANATAKA WANAUME WENYE PESA NA MAJUMBA LAKINI MWISHO WA SIKU WANAJIKUTA WANAKOSA VYOTE. Samahani Kidogo Tangu umeanza kusema unataka kuolewa na mwanaumee mwenye pesa mbona mpaka Léo...
10 Reactions
115 Replies
11K Views
Natamani kuoa lakini naogopa. Je,mliooa mnasemaje juu ya uoga nilionao?? Maana naogopa kumlaza njaa mtoto wa watu miye nimeshakuwa sugu wa njaa sasa huyu mwingine naogopa sana!!
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wandugu habari zenyu! Niende moja kwa moja katika mkasa huu, nina Dada yangu wa damu kabisa miaka hiyo akajichanganya kwa dume la kutoka Iringa sasa kasheshe jamaa ni mtata haswaa,hakuhitaji ndugu...
6 Reactions
34 Replies
5K Views
nimeamua kuoa nahitaji mke wa haraka haraka sifa na vigezo: * Awe mcheshi * 25-30 miaka * awe tayari kuishi na mimi * asiwe amezaa * asiwe na mtoto * asiwe amewahi kunyonyesha * awe tayar...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 35, nilioa mwaka 2009 kabla ya kuoana tulipima na wote tulionekana tupo salama. Tukazaa watoto wawili, mwaka 2013 mke alianza kuumwa, alikuwa anatibiwa homa inarudia...
11 Reactions
178 Replies
18K Views
Kijana katika ujana ulijiapia kabisa kuwa hutaki watoto wa nje. Yule house girl uliyejifunza mapenzi kwake aliondoka na mimba na akirudi kwao kijijini. Wakati ile ilikuwa form five. Ulpoanza...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Big up Rostam,ukiwa kwenye mahusiano kuna watu wao kuhukumu,ukiachika au kuachana wanasema "tulijua tu hawafiki popote", mahusiano yanavunjika na has a yale ya dhati hamna anayependa aachane na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa lugha zenu kwa kuzingatia rika, Imani, itikadi, mila na tamaduni zenu. Nikirudi kwenye mada: Nani asiyejua kuwa mapenzi ni matamu Asali ni kivuli chake? Pengine yupo, basi kama...
7 Reactions
94 Replies
8K Views
Natafuta rafiki wa kike aliye nautayari ambaye twaweza jenga mahusiano thabit yatakayo lenga kuishia ndoani. Nimtaftae awe vyovyote vile mradi tu awe anajielewa na kujiheshimu na awe na kazi inayo...
0 Reactions
1 Replies
618 Views
Habarini za Usiku mabibi na mabwana. Takribani wiki 3 za ban ya Jamii Forum kulifanya nielewe majukwaa ambayo yanahitaji special permission kuingia, sikuwahi kuwaza kabisa kama yapo humu jamvini...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
MUME: Mkewangu naumwa sana nasikia maumivu makali sana kwenye moyo naomba upige simu gari la wagonjwa lije, MKE KAICHUKUA SIMU YAKE FASTA: Haya naomba password ya simu yako MUME: Ok basi acha...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Saa 12:30 asubuhi ya leo niko macho lakini bado nimejilaza kitandani nikiangalia miziki ya injili katika kituo cha EATV mkono mwingine nimeshikilia simu yangu aina ya HUAWEI Ascend nikiangalia wa...
5 Reactions
36 Replies
14K Views
Katika maisha kuna kupanda na kushuka. Kunamuda tuna kuwa wabinafsi kupitiliza kunamuda tunajisahau nafsi zetu. Kwa kiasi kikubwa tuana jitahidi kubalance our love for others and love for our...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom