JE UMEPOTEZANA NA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI NA UNGETAMANI MUONANE?

Mwagito84

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
235
705
Kama umepotezana na ndugu,jamaa na marafiki na ungependa muonane kama sio kuwasiliana basi we kazana kutafuta fedha, yaani kuwa na mpunga tu wa kutosha. Suala la namba watajua wao watakako itoa
 
Nimepotelewa na mpenzi wangu anaitwa Me too natafuta pesa nyingi sana najua tutaonana tu
 
Back
Top Bottom