Nimegundua mchumba wangu ni mke wa mlinda amani

Mwagito84

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
226
500
To make the story short, kuna mdada nilikutana naye kwenye mwendo kasi stiry za hapa na pale kidume nikaambulia nambali za siku end of day one.
Baada ya mwezi tukawa mahabani na huyu manzi. Dhaa penzi kama lote mtoto mashaalah. Ila sikumuangusha nilimpa ile tunaita 'effectivery show' jana ndo kanitext kuwa alishindwa kuniambia ukweli yeye ni mke wa mtu na mama, Mzee wa mabakamabaka yuko nchi ya jirani analinda amani eti alishindwa kujizuia kwani anazaidi ya miezi sita hajapigwa msasa. Nilikuwa nashangaa mbona haombi hela. On otherside nimesikitika kwamba huku anaimarisha ulinzi huku nyuma huku beki hazikabi.
Ila tumekubaliana tusitishe. Kila mtu ameshika hamsini zake. Kuna nilipo kosea wakuu
 
Anti-Hacker

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
806
1,000

Achana na Uzinzi
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,102
2,000
Nakushauri uandike kabisa barua ya usia. Jamaa akirudi kuna moja kati ya haya mawili. Uchague kati ya "Guest House" au "Utangulie kwa muumba wako"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom