Anaandika Wakili Msomi Simbila Jr
___________________________________
Ndug wana jukwaa ninawasalimia na baada ya salam napenda kuwakaribisha ktk uzi huu..
Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na...
wakuu leo nilikua kiwanja fulani hapa kitaa na washikaji tukipata 1 moto 1 baridi...katika zoezi hilo kuna mhudumu mmoja alimfata jamaa yang kipind naangalia mpira ye akipiga vyombo kua...
Habarini za muda huu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunapata chakula cha siku kwa familia na binafsi
.
.
Niende kwenye point moja kwa moja:
.
.
.
Mimi ni kijana umri wangu ni...
Kwakweli namshukuru MUNGU kwa kunipa huyu mke nilie nae japo nimeteseka sana juu ya mambo yake ila sasa mambo ni fresh familia ime settle vizuri.
Mimi mke wangu huyu alikua anapenda pesa sana...
Tumeacha tamaduni zetu na kuingia kwenye tamaduni za kigeni ambazo zimetuletea mambo mengi mabaya mabaya. Hata hii issue ya ushoga ni kwa ajili ya kuacha kufuata tamaduni zetu. Mababu zetu...
Naomben mawazo yenu
naona mume kidogo akili zimeanza kumkaaa sawa maana yeye alikua hawazi chochote juu ya maendeleo yangu na yeye zaidi ya kuwaza kwao tu...
Juz kaja na wazo kwamba achukue mkopo...
Wakuu,
Kuna binti mmoja nampenda sana tena sana, basi kidume nikajikunja kumtafuta huyo dada angalau nimueleze kilicho moyoni.
Tukawa na mazoea ya kawaida, nikaamua kumuambia ukweli lakini binti...
Jamanii niulize jambo hivi dunia hii kama mtoto wako wa kike wa kwanza amepata mimba unfortunately...sasa baba na mama wakatengana kwa hilo jambo sasa ni miaka minne tangu hilo jambo...swali...
Hebu please acha kua na
*1.[emoji117]VIGEZO VISIVYO NA MSINGI.*
*[emoji843]Kuweka vigezo vingi na kuchagua chagua sana inaweza ikawa ni sababu ya kufanya mabinti wengi wasiolewe.*...
Ni jumapili leo, sikufanikiwa kwenda kwenye nyumba ya ibada mlioenda natumai mmetuwakilisha vyema. Sadaka yangu iko ntaipeleka na ya wiki ijayo panapo uzima.
Kichwa cha uzi kinasema utamu...
Unakuta umeingia na mrembo ndani bila kumpanga kama unataka penzi matokeo yake unamshikashika alafu askari kichwa anasimama..mtoto wa watu anakuambia hayupo tayari kusex.. unaanza kujifanya...
Kwamba Kuoa kwa Mwanaume ni Kitendo cha Yeye kuwa Shujaa na Kujitoa Mhanga kuwa Mwakilishi mwema wa Wanaume wenzie katika Kumuhifadhi tu huyo Mwanamke ( Bibi Harusi ) Nyumbani Kwake ila katika...
msyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
mxeuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wadau nisaidieni maana yake ili nijue nisije kuwa naendelea kumwagilia ua lililokufa !!!!
pleasee msaaada wadau...
Mwanaume alipendwa na wengi naalikuwa anatesa wanawake .
Muda mwingi ni starehe na wake zawatu naalikuwa ananunuliwa vitu na wamama wawatu kila mahali anamke wake amezalisha wengi.
Kazi mara...
Salaam wakuu, nimekaa natatizika ndipo nikakumbuka kuna jukwaa hili, niende fasta kwenye key.
Kimsingi nimekuwa nipo nyumbani tokea mwezi wa 8 na huu mwezi wa 11 ndio mwisho inabidi niende kwenye...
Mchumba wangu ndo yupo wiki ya 36.. Nimekuwa nikimpa moyo kwamba anakaribia kujifungua ila sasa sijui haswa inaweza kuwa wiki ya ngapi maana ananiambia ameshachoka na tumbo.
Halafu kitu kingine...
Unaweza kumuita ndio kiumbe msumbufu zaidi akiamua kukukosesha usingizi... Nafahamu una kiroboto na kunguni pia... Duniani wawili wawili.. Lakini mbu ni kiboko, atakujia toka atokako direct mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.