Mikhail Tal
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 505
- 872
Mchumba wangu ndo yupo wiki ya 36.. Nimekuwa nikimpa moyo kwamba anakaribia kujifungua ila sasa sijui haswa inaweza kuwa wiki ya ngapi maana ananiambia ameshachoka na tumbo.
Halafu kitu kingine.. Bado ana nyege sana za kugegedana. Ila mimi nakuwa naogopa mno maana naona kama mtoto atakuwa anabughudhiwa especially kipindi hiki.
Huwa inabidi nifanye tu kumridhisha lakini naogopaga sana. Mpaka kuna wakati na mara zote huwa naingiza tu kichwa cha dushe ila nashukuru maana nakuwa namridhisha pia.
So wadau ni sahihi pia kuendelea kugegedana katika wiki hii ya 36 ama nafanya makosa?
Nilitaka kuuliza hili swali siku nyingi ila nilijipa moyo labda ikifika wiki kuanzia ya thelathini labda hamu zitapungua kidogo ila naona ipo vile vile tu.
Ieleweke, sio kwamba nashindwa kumgegeda ila hofu yangu ni je inaruhusiwa kufanya hivo mpaka hii wiki ya 36?
Asanteni