Mpo poa!
Zamani wazee walitoa elimu kwa vijana na mabinti wadogo pindi wanapopevuka. Elimu hii ilisaidia sana vijana kwenye maisha halisi ya kujitambua na namna ya kutumia rasilimali zilizopo...
Wakuu natumai nyote mko wazima kabsa...
Kwenye mada moja kwa moja
Me kwakweli elimu hii ya unajimu sio kiivo ila naijuamo
Kuna watu wengi mnapitia struggles mbalimbali kwenye mahusiano...
Habari wakuu,
Mwanzo nilitoa uzi kuhusu kuachana na mchumba siku 14 kabla ya harusi.
Nashukuru nimerudisha michango kwa asilimia 40 kwa marafiki,na asilimia 60 kwa ndugu zangu baada ya wao pia...
Habarini wana JF
Najua wengi wetu si wageni au atuko mbali sana katika jambo la malumbano katika mahusiano kutokana na changamoto mbalimbali, kuna wengine wakaweza tatua changamoto nakuendelea...
I love being called a mom
Wazungu wanasemaga being called a mom is a precious thing ever
Siwezi kuelezea raha ya kuwa mama, ni ufahari, ni utajiri ni kila kitu ambacho naweza kuandika hapa...
Wadada na wakaka wenzangu... HII KITU INANICHANGANYA...
WADADA: HIVI KATI YA ALIYEKUBIKIRI AU ALIYEKUPA MIMBA YA KWANZA... NI YUPI HUTOMSAHAU NA KUMHESHIMU MAISHA YAKO YOTE...?
WAKAKA: HIVI NI...
Katika kipindi hiki cha kwaresima ndg zangu nilipanga nisipost kitu chchte hapa jamvini kwetu lakini kwa kilichotokea jana nimeona nikilete tu.....
Jana mida ya saa 7 au 8 hivi za ucku tukasikia...
hivi unafanyaje kama ulikua na mpenzi wako alafu baada ya kuwa kwenye mahusiano mda mfupi tu na yee akadai penzi na wewe ujawahi kusex unaogopa sas akakuita mkutane gest ulipoenda ukagoma kusex...
Itifaki imezingatiwa.
Nina Mdogo Wangu Wa pili Ambae Nilikua Naishi Nae Hapa Nyumbani Kwangu Kwa kipindi Kilicho Pita. Baada Ya kujipanga Kimaisha Akaamua Atafute Chumba Cha Kupanga Ili mambo...
Mwaka flani nilipewa kazi ya kusambaza invoice kwa wateja wetu kwa njia ya kieleketroniki (emails), moja kati ya wateja hao ilikuwa ni kampuni moja hivi inayojishughulisha na clearing and...
Kwa kawaida huku mtaani tumezoea unaambiwa mwanamke msomi au mwente hela hafai kuoa ofcoz shida kubwa hapa ni swala la inferiority na superiority. Lakini angalau basi mwanaume uwe hapo na kimoja...
Nimeoa nina miezi 5 sasa ila tatizo kubwa ni kwamba mke wangu anapika chakula kidogo mno yani sishibi kabisa na namuachia hela ya matumizi ya kutosha ila sielewi nini kinamsumbua
Mpaka inafika...
WANASAYANSI nchini hapa israel wanaamini wanakaribia kupata tiba ya kutokomeza virusi vya Ukimwi (VVU).
Imani hiyo imekuja baada ya timu ya watafiti kumaliza jaribio la kimaabara mwilini mwa...
Salamu sio muhimu sana i hope amani imetawala
Niko na girlfriend wangu me naishi Dar na yeye yuko mkoani huyu manzi sijajuana nae jana bali kitambo sana tumesoma wote primary baadae familia yake...
Kwa wale wenye uzoefu watakubaliana na Mimi.
Mzunguu akija Africa akiamua awe na mpenzi machaguo yao ni tofauti na matarajiao ya wengi (sisi African's)
Utakuta mdada wa kizungu akiamua kupenda...
Wanabodi salaaaam
Lengo la uzi huu ni kutaka kushirikishana confession au kwa Kiswahili "kukiri" kwako kwenye mambo ya mahusiano.
Mfano mimi nakiri nilimkaza demu wa rafiki yangu kwa miezi 6 bila...
Habari wana MMU mi niko sawa kiafya.
Ni mara nyingi sana mke wangu amenifuma na SMS kutoka kwa wanawake tofauti ingawaje sio wote ni michepuko yangu ila wamo wengine walikua michepuko wangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.