October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Salaam wakuu, nimekaa natatizika ndipo nikakumbuka kuna jukwaa hili, niende fasta kwenye key.
Kimsingi nimekuwa nipo nyumbani tokea mwezi wa 8 na huu mwezi wa 11 ndio mwisho inabidi niende kwenye harakati kidogo ila katika hiki kipindi mwishoni mwa hiki kipindi, kitaani kwetu limefunguliwa duka la madawa za binadamu dogo sasa anayeuza ni mtoto mmoja mkali, wadau wengi walianza marathon kwa uyu mtoto ila mie ndio niliwai frontline mpaka namba yake ya simu ninayo mimi tu pekee mtaani na muda wa kuondoka nampa kampani mpaka jana nilikuwa sipo akaniambia nafunga nimpe kampani, yaani kwakifupi uwanja ni wangu siwamwengine hakuna mashaka kwahilo ila nini kinanitatiza ndicho kilochonileta hapa.
Kinachonitatiza ni kama nilivyoeleza tumezoena week mbili tu na mimi ndio naondoka, sasa nawaza nimtongoze alafu naondoka narudi mwakani mwezi wa 7 hivi itawezekana kweli, au nisiomtongoze mpaka narudi mwakani mwezi wa 7 ndio nimwambie.
Iyeleweke hivi unaweza mtongoza mtu na mukaishi kwenye mapenzi kwa kipindi kadhaa hata mwezi hapo hata mukiwa mbali munakuwa stable, ila huyu sasa kesho ndio naondoka sasa natatizika.
Mpaka sasa wadau wanamwendea puta kama marathon, mpaka washkaji wangu wengine wanasema ataondoka uyo muache atambe.
NB: mpaka nimekuja kumu-expose hapa inamaana uyu manzi nimeona anavigezo vyote navyovitaka, nalikifanikiwa suala hili anaweza kuwa wa maisha, kimsingi mtaani sijawai pata au ona manzi aliye timamu na sifa nazozitaka mimi kama huyu atleast nipeni ushauli kesho ndio naondoka.