Matata ya mbu! Anajuaje hili ndio sikio?

Matata ya mbu! Anajuaje hili ndio sikio?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,052
Unaweza kumuita ndio kiumbe msumbufu zaidi akiamua kukukosesha usingizi... Nafahamu una kiroboto na kunguni pia... Duniani wawili wawili.. Lakini mbu ni kiboko, atakujia toka atokako direct mpaka kichwani halafu sikioni? Na udogo wake wote huo sijui werevu huu kaupata wapi.. Anajuaje hili ni sikio? Aje avumie hapo na kisauti chake chembamba kikali?
Ukistuka ukarusha kofi utaishia kujipiga mwenyewe... Yeye huyoo krshasepa kitambo

Pamoja na wepesi wake wa kukwepa makofi yanayoweza kumletea umauti wa hapohapo.. Waswahili wanasema bila hata kuomba maji, na werevu wake wa kujua pa kupigia kelele lakini anaweza pia kuwa kiumbe juha mpumbavu zaidi.,. Akikupigia kelele sikioni isiporusha mkono ama kustuka anajua wazi huyu kalala fofofo... Hivyo hujichagulia artery nene iliyojaa vizuri damu na kutumbukiza mrija wake hapo.... Ujuha wake unakuja hapa hatafyonza kiasi cha kushiba tu ili abaki na wepesi wake wa kubaki na kasi ya kukwepa shambulio... Atajisahau na kufyonza mpaka kitumbo kiwe ndindindi... Atafyonza mpaka avimbiwe kabisa na kushindwa kuruka hata pima moja ama akiweza ni kizembe mno na kwa kasi ndogo kabisa....
Mtoto mtukutu kawa kama mbu... Mbu akishavimbiwa hata kuvuma hawezi tena! kupayuka kumepungua kabisa, miruko ya huku na kule huisikii tena... Zile kelele za kila usiku kama kule mawingu haziko tena!
Kala kavimbiwa... Wepesi na ujasiri wa kuruka tena haupo! kifuatacho kinajulikana

By the way (hii ni nje ya mada) hivi kuna mbu chapombe? Kamwe hamwendei ambaye sio mlevi.... Starehe yake ni damu ya mtu aliyetoa lock[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona umemkomalia huyu mtu? Whats the source of this personal 'vendetta' ?
 
Mtoto mtukutu kawa kama mbu... Mbu akishavimbiwa hata kuvuma hawezi tena! kupayuka kumepungua kabisa, miruko ya huku na kule huisikii tena... Zile kelele za kila usiku kama kule mawingu haziko tena!
Kala kavimbiwa... Wepesi na ujasiri wa kuruka tena haupo! kifuatacho kinajulikana
Wahenga walishasema: NGOMA IKIVUMA SANA MWISHOWE HUPASUKA
  • Je hii ngoma tayari imepasuka?? au yaelekea kupasuka??? Mshana Jr
 
Watamwita kila jina baya , leo Mbu Jana alikuwa mbwa.watatabiri kila aina ya anguko la huyu kijana.Lakini Mshana Jr hizo ni kuasambaza chuki binafsi. Unajitahidi kwa kweli, lakini ziweke huko huko ulikozipata.
 
Unaweza kumuita ndio kiumbe msumbufu zaidi akiamua kukukosesha usingizi... Nafahamu una kiroboto na kunguni pia... Duniani wawili wawili.. Lakini mbu ni kiboko, atakujia toka atokako direct mpaka kichwani halafu sikioni? Na udogo wake wote huo sijui werevu huu kaupata wapi.. Anajuaje hili ni sikio? Aje avumie hapo na kisauti chake chembamba kikali?
Ukistuka ukarusha kofi utaishia kujipiga mwenyewe... Yeye huyoo krshasepa kitambo

Pamoja na wepesi wake wa kukwepa makofi yanayoweza kumletea umauti wa hapohapo.. Waswahili wanasema bila hata kuomba maji, na werevu wake wa kujua pa kupigia kelele lakini anaweza pia kuwa kiumbe **** mpumbavu zaidi.,. Akikupigia kelele sikioni isiporusha mkono ama kustuka anajua wazi huyu kalala fofofo... Hivyo hujichagulia artery nene iliyojaa vizuri damu na kutumbukiza mrija wake hapo.... Ujuha wake unakuja hapa hatafyonza kiasi cha kushiba tu ili abaki na wepesi wake wa kubaki na kasi ya kukwepa shambulio... Atajisahau na kufyonza mpaka kitumbo kiwe ndindindi... Atafyonza mpaka avimbiwe kabisa na kushindwa kuruka hata pima moja ama akiweza ni kizembe mno na kwa kasi ndogo kabisa....
Mtoto mtukutu kawa kama mbu... Mbu akishavimbiwa hata kuvuma hawezi tena! kupayuka kumepungua kabisa, miruko ya huku na kule huisikii tena... Zile kelele za kila usiku kama kule mawingu haziko tena!
Kala kavimbiwa... Wepesi na ujasiri wa kuruka tena haupo! kifuatacho kinajulikana

By the way (hii ni nje ya mada) hivi kuna mbu chapombe? Kamwe hamwendei ambaye sio mlevi.... Starehe yake ni damu ya mtu aliyetoa lock[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mawimbi ya sauti ya mbu kwa binadamu ni rahisi kuyajua kama hakuna sauti itakayo kuwa inazingira mazingira uliyopo.na mawimbi ya sauti mbu hata kama yupo pembeni unaweza kujua yupo kalibu yako karibu na sikio
 
Watamwita kila jina baya , leo Mbu Jana alikuwa mbwa.watatabiri kila aina ya anguko la huyu kijana.Lakini Mshana Jr hizo ni kuasambaza chuki binafsi. Unajitahidi kwa kweli, lakini ziweke huko huko ulikozipata.
Uzuri wa sanaa ni kwamba kila mmoja ana tafsiri yake... Roho yangu haina kovu la kinachoitwa chuki! Mimi ninani mpaka nijenge chuki kwa uumbaji wa Mungu.... NINA HOFU na Mungu wangu na roho yangu imejaa unyenyekevu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom