Utamu unapatikana

Utamu unapatikana

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,228
Ni jumapili leo, sikufanikiwa kwenda kwenye nyumba ya ibada mlioenda natumai mmetuwakilisha vyema. Sadaka yangu iko ntaipeleka na ya wiki ijayo panapo uzima.

Kichwa cha uzi kinasema utamu unapatikana... watu wakisikia utamu wanawaza chakula maana utamu unapata au unahisi ladha yake mdomoni kupitia ulimi.

Utamu huu wa asilia tumepewa na Mungu ambao unapatikana kwenye vitu mbali mbali vya asilia mfano miwa, ndizi, nanasi, asali, fenesi na kadhalika na kadhalika.

Sasa kuna utamu ambao Mungu ameweka kwa wanawake yaani kwetu sisi wamama.... Jamani utamu huu Mungu ameweka wanaume wako radhi wauane wenyewe kwa wenyewe kisa utamu....

Hii utamu Mungu ameweka kwetu muitunze msiifanyie ndalilo haiishii, kila siku inazidi utamu wa jana....

Ila mimi nimekuwa mzee, utamu yangu imezeeka hivo msikuje kuomba, naongelea utamu ya wanawake wengine muikule taratibu na muitunze haiishii hata ukeshe usiku kucha kesho utamu inazidi ile uliokula jana 😁 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅.

Kama hujapata kile nimemaanisha basi itakuwa si yako hii, waliopata wapatie na wengine wasiopata. Ila kuusa utamu ni sambi.

Jumapili njema nyote.

K' Matata.
 
Ila mimi nimekuwa mzee, utamu yangu imezeeka hivo msikuje kuomba, naongelea utamu ya wanawake wengine muikule taratibu na muitunze haiishii hata ukeshe usiku kucha kesho utamu inazidi ile uliokula jana [emoji16] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28].

Kama hujapata kile nimemaanisha basi itakuwa si yako hii, waliopata wapatie na wengine wasiopata. Ila kuusa utamu ni sambi.

Jumapili njema nyote.

K' Matata.
Ngoja nikae siti ya mbele nisubili wanaojua utam zaid
 
Miaka ya zamani ambapo wanawake walikuwa wachache kuliko wanaume, utamu wenu ulikuwa murua na mlikuwa hamuugawi hovyohovyo ila baada ya nyie kuongezeka huo utamu hauna dili na hata wanaume hawaupiganii tena, na ninyi mmeona huo utamu hauna maana mmeamua kutupatia ule wa backside.

Ni jumapili leo, sikufanikiwa kwenda kwenye nyumba ya ibada mlioenda natumai mmetuwakilisha vyema. Sadaka yangu iko ntaipeleka na ya wiki ijayo panapo uzima.

Kichwa cha uzi kinasema utamu unapatikana... watu wakisikia utamu wanawaza chakula maana utamu unapata au unahisi ladha yake mdomoni kupitia ulimi.

Utamu huu wa asilia tumepewa na Mungu ambao unapatikana kwenye vitu mbali mbali vya asilia mfano miwa, ndizi, nanasi, asali, fenesi na kadhalika na kadhalika.

Sasa kuna utamu ambao Mungu ameweka kwa wanawake yaani kwetu sisi wamama.... Jamani utamu huu Mungu ameweka wanaume wako radhi wauane wenyewe kwa wenyewe kisa utamu....

Hii utamu Mungu ameweka kwetu muitunze msiifanyie ndalilo haiishii, kila siku inazidi utamu wa jana....

Ila mimi nimekuwa mzee, utamu yangu imezeeka hivo msikuje kuomba, naongelea utamu ya wanawake wengine muikule taratibu na muitunze haiishii hata ukeshe usiku kucha kesho utamu inazidi ile uliokula jana 😁 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅.

Kama hujapata kile nimemaanisha basi itakuwa si yako hii, waliopata wapatie na wengine wasiopata. Ila kuusa utamu ni sambi.

Jumapili njema nyote.

K' Matata.
 
Miaka ya zamani ambapo wanawake walikuwa wachache kuliko wanaume, utamu wenu ulikuwa murua na mlikuwa hamuugawi hovyohovyo ila baada ya nyie kuongezeka huo utamu hauna dili na hata wanaume hawaupiganii tena, na ninyi mmeona huo utamu hauna maana mmeamua kutupatia ule wa backside.

Siwafahamu hao unaowaongelea na hawakuingia kwenye hii mada niliyo itajaa.

Miaka yetu tunaenda sokoni tukiwa tumefunga khanga kiunoni utamu ulikuwa utamu. Siku hizi sijui maana mie nimezeeka.
 
We hujazeeka bado unapemba kujirusha weekend, Bado sana kama ni safari ndo umefika katikati, kama ni kupandisha mlima ndo kwanza upo kwenye shina
 
Naomba hiyo chungwa lako nijipakulie taratibu,huku unatoa sauti ya chini mpaka ufurahi na huo utamu wako jamani
 
Utamu utamu utamu kolea.
Achana na utam wenu kabisa.
Maana hata jambazi anaiba au kuua anakuja kuonga apate utam.
 
We hujazeeka bado unapemba kujirusha weekend, Bado sana kama ni safari ndo umefika katikati, kama ni kupandisha mlima ndo kwanza upo kwenye shina

Toobaaah!!! Hivoo eeehh, hata nilikuwa sijijui, basi nashukuru kunikumbusha nilivyo.

Kasie hoyeeeeeeee 😅 😅 😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom