Dawa ya mademu wa mizinga

Dawa ya mademu wa mizinga

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,986
Reaction score
168,513
1527085_690583930985228_1569967496_n.jpg
 
Mpwa wangu Bujibuji siioni mbona hio dawa? au nina dhambi nyingi kiasi kwamba macho yangu hayaoni tena? Please reload
 
Last edited by a moderator:
hata kimpesa cha kumpa pole. kweli wanaume wamezidi kupungua. eti enjoy!!
 
Tatizo UPENDO haupo, ukiwepo upendo wa dhati sio rahisi kufanya usanii wa namna hiyo kwa mpenzi wako. Wengine wanatongoza kwa ajili ya ngono tu basi, lakini hawana upendo. Hata akisema anakupenda sana sijui kakuzimia sijui nini, ni ili umvulie sketi basi.
 
ivi dhana ya kusema pole imeisha msibani???

kwani ukisema hivyo kesho taacha kukupig mzinga??

fikiria njia ya kuondoa tatizo kwa busara na hekima na value yako ibakie pale pale...
 
Back
Top Bottom