Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimepanda mwendokasi pembeni yangu amekaa kaka mtanashati(hata kimaisha anaonekana yupo njema.) Tangu kimara mpaka sasa tunakaribia jangwani anaongea na simu!yupo bize anambembeleza mpenzi wake...
16 Reactions
110 Replies
11K Views
Habari za jioni, leo nadedicate masaa kadhaa ambayo nitatoa ushauri kwenye masuala mbalimbali ya mahusiano. Wale watakaopenda niwape ushauri hapa karibuni na wale mtakaopenda kushauriwa kwa...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Hello Guys, Leo tuambizane nini baba yako ama mlezi wako wa kiume, amekuwa akikufundisha/akikueleza/ kushauri kuhusu maisha na mahusiano kwa ujumla wake ili nasi pia tujifunze/kuchota busara za...
7 Reactions
63 Replies
5K Views
1.Siku ya kwanza atakuja na chupi mbili, moja anaifua anaacha bafuni na nyingine anaivaa anaondoka asubuhi. 2.Siku ya pili anakuja na khanga anaivaa usiku, asubuhi anaianika nyuma ya mlango...
8 Reactions
50 Replies
11K Views
Moshi is loading.................? Team wachaga the skippers
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani nyie wenyewe mnajua maisha ya usingo yanavyochosha na umri nao unavosogea so mie nimeona sasa nitafute mke. Kwanza kabisa mie umri ni VERY LATE TWENTY Elimu yangu ni diploma ya sheria...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
1. Jitahidi wasiwe na mazoea ya kijinga. 2. Kama upo home jitahidi kutoa huduma za chakula we mwenyewe Mengine jiongeze usimwamini mwanaume hata kama amekufa...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Habari wana jamvi Nina(follower) rafiki mmoja wa kike kwenye mitandao ya kijamii,hatujawahi kuonana uso kwa uso, bali kupitia mitandao ya kijamii Alipokuwa anapost picha nilikuwa namsifia alivyo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Jaribuni hata mwezi mmoja tu muone
3 Reactions
113 Replies
12K Views
Ukiwa mrembo, mzuri na umejaaliwa kila sifa kiasi cha wanawake wenzako wanatamani kuwa kama wewe, halafu ukakosa akili, msimamo, na kutawaliwa na tamaa za kijinga. Hakika utakuwa daraja maisha...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Kinachopelekea wapenzi wengi kuingiliana kinyume na maumbile...ni kuprefer makalio makubwa... Kwa sababu hata uyapende makalio utayafanyia nini cha ziada kwenye mapenzi zaidi ya kuyashika tu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika dunia tunayoishi kuna watu wamejaliwa kuwa matajiri na wengine ni masikini. Wapo mameneja wengine wahudumu. Huku mfyagizi kule CEO. nk nk. Kuna wakurugenzi na walinzi. Huku makarani kule...
34 Reactions
32 Replies
3K Views
Wenyeji wa humu heshima iwe kwenu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ujumbe niliotumiwa na mpenzi wangu nimeshindwa nimjibu nini.Hivyo kupitia hapa naombeni ujumbe maridhawa nitakaompatia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna kisa kimoja hivi...kwa atakayenielewa atakuwa amejifunza kitu... Siku moja kuna kipofu tangu azaliwe ndivyo alivyo kipofu... Siku moja Allah akambariki kuona kwa muda mfupi sana...alafu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
"Magazeti yaliyopinga Vita ya UNGA sasa yanapinga Vita ya MADINI...na tunaelekea kwenye Vita Dhidi ya USHOGA...hapa sasa ndio Wahariri wake watavaa VIKUKU. My Nation, My All time Love
0 Reactions
2 Replies
721 Views
Kuna rafiki yangu mmoja more than a friend alikua na mpenzi wake walipendana sana japo walianza wakiwa wadogo, walipeana ahadi nyingi sana maishani mwao mpaka wazazi wa pande mbili wote walijua...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wakuu Miaka ya nyuma sana wanawake walikua wanatabia nzuri sana japo walikua hawajilembi na kujipamba kama kipindi hiki. Yani saizi wanajipamba sana lakini ndio tabia mbovu sana...
16 Reactions
200 Replies
12K Views
www.freegb.net/gbook/utamusite
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Case closed
10 Reactions
138 Replies
12K Views
Habari zenu : Kwa mara ya kwanza naandika Makala hii kumtafuta mdada anaejitambua ili tuweze kukaa chini na kujenga mahusiano mazur kwa misingi ya ndoa halal’ ninamiaka 31yrs ; naamini panapo...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Back
Top Bottom